Recent content by Nehi95

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mh jamani tamisemi lini watatangaza ajira?

    Ya kwel hayo?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mh jamani tamisemi lini watatangaza ajira?

    Asante
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kweli Mungu anatenda, nimepata elfu kumi niliyoisahau kwenye begi siku nyingi

    Najua ila humu ni vile tu hatuonani ila ww mwenyew una shida ya akili zaidi yangu maana kupambana na mtu usiyemjua kaandika Uzi akiwa na maana gani ww ndo unatatizo la kujifanya motivation speaker... Mungu ndo anajua saiz una hali gani ya maisha
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mh jamani tamisemi lini watatangaza ajira?

    Jamani nauliza tu Kwa mwenye fununu kuhusu ajira *note Kwa motivation speakers na wenye akili nyingi jibuni swali msianze mambo ya mara ujiajiri mara acha uvivu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kweli Mungu anatenda, nimepata elfu kumi niliyoisahau kwenye begi siku nyingi

    Hujawahi pitia changamoto ww naona
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini kabla ya kufanya maamuzi ya jambo fulani?

    Kwanini kabla ya kufanya maamuzi ya jambo fulani najikuta tu nakosa amani?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

    Membe kapiga sana hapo RIP
  8. N

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

    Makeup 💄💄 zinatudanganya kabisa wkt mtu Hadi tuje tumtie macho I au kwenye picha tyr kaishafanyiwa painting ya makeup masaa mawili
  9. N

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

    Wakati mwingine ni Bora akuache kuliko akusababishie early grave
  10. N

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

    Naona anatamani hata Leo kesho Babu age ili afunge ndoa ya ndoto zake
  11. N

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

    Anatamani umri urudi nyuma
  12. N

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

    Mzee shusho alikuwa anafanya kazi bandari Tanga maisha yalikuwa mazuri sana Mzee wa watu alimpenda sana Christina na kumsomesha Hadi hicho kienglish pamoja na kumsomesha mdogo wake na Christina wa like ambae alipoolewa alikuja na mdogo wake yule Binti aliekuwa anacheza kwenye nyimbo za Tina za...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

    Nimeishi nao sana ni wanafiki htr na wakatili na hata umfanyie Nini mwanaume lazima akadange tu nje
  14. N

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

    inashangaza Mimi nilikuaga naamini mwanamke mrembo anazaa watoto wazuri pia ila nashangaa Kwa mrembo ameshindwa kurithisha uzuri wake Kwa mabinti zake au ndo ana mchanganyiko wa utaifa tofauti
  15. N

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

    Ila inashangaza Mimi nilikuaga naamini mwanamke mrembo anazaa watoto wazuri pia ila nashangaa Kwa mrembo ameshindwa kurithisha uzuri wake Kwa mabinti zake au ndo ana mchanganyiko wa utaifa tofauti
Back
Top Bottom