Recent content by Nehemia Shimwela

  1. Nehemia Shimwela

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli haya anayoniambia mchumba wangu?

    Oa. Mzee.. Kma unampenda kaa naye chini muyaongee muyamalizee
  2. Nehemia Shimwela

    JamiiForums Tanzania Lionel Messi ni zaidi ya mchezaji japo naichukia Barcelona

    Huyo ni mchawi mweupeee.. Hatari sn..
  3. Nehemia Shimwela

    JamiiForums Tanzania Naombeni Mchango wenu wa Mawazo-NINA SAFARI YA KWENDA MWITONGO BUTIAMA

    Mwambie aendelee kupumzka kwa amani hata asiiote nchi yake mana akirud hta kwa bahati mbaya atakayoyakuta atafarik tena kwa pressure
  4. Nehemia Shimwela

    JamiiForums Tanzania Unapoambiwa "Old is gold" usibishe, ingia ucheze ngoma

    "Sizitaki mbichi hizi".... Darasa la 3
  5. Nehemia Shimwela

    JamiiForums Tanzania Adhabu kwa Simba

    Hahaaaha jamaa haoni hta aibu
  6. Nehemia Shimwela

    JamiiForums Tanzania Yanga yageuza changamoto ya marefa wa Tanzania kama fursa.

    Huna point, unahangaika tu kutetea ujinga wa jana
  7. Nehemia Shimwela

    JamiiForums Tanzania Adhabu kwa Simba

    Wewe unayeitetea tff na kuikandamiza simba nina uhakika hujacheza mpira wala hupendi mpira toka moyoni au utakua uoande wa pili tofauti na simba, hivi kabla mashabiki hawajavunja viti lazima ujiulize kwa nini wavu je viti?? Goli lao halali limekataliwa, mtu anashika mpira kwa mkono kabsa na...
  8. Nehemia Shimwela

    JamiiForums Tanzania Bodi ya MCC yafunga rasmi ofisi zake Dar miezi sita baada ya kusitisha misaada kwa Tanzania

    Lakini pia tujue kuwa hyo misaada haiiji bure, kadiri wao wanavyotoa na kututoa point moja hadi nyingne, ndo vivyohivyo na wao wanavyochota rasilimali zetu behind the scenes, trust me Marekani hana urafiki sehemu isiyokua na maslahi ndugu yangu
  9. Nehemia Shimwela

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Viongozi wa Ukawa: Hatumtambui Profesa Lipumba kama Mwenyekiti wa CUF

    Hahaa serikali hii hatutak utani
Back
Top Bottom