Hahahha zero brain huwezi kuelewa haya mambo. Ila Jamiiforums now days imekuwa na mambumbu wengi ndio munatuharibia hii website.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha huna akili unaweza kufananisha hata Matokeo ya mwezi mmoja na mwaka kwa percentage kulingana na mapato ya kipindi husika na makadirio ya mwaka mzima. Mfano hata wewe unaweza kufanya hivyo ukisema biashara yangu natarajia mwezi huu nipate 300M hivyo ukiigawanya kwa siku 30 za mwezi...
Tatizo huu upotoshaji hakuna data nadhani itakuwa umeishiwa maneno maana TRA nusu mwaka 2019/2020 imekusanya 7.99T ambapo makusanyo kulingana na mwaka 2018/2019 ilikuwa ni 7.83T hivyo mwaka huu wamekusanya kiasi kikubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri kusema hivyo ni vizuri maana yeye nia yake ni kufikia malengo ya Serikali kujitegemea na lengo la Waziri kusema hivyo ni ifike makusanyo ya 3T kwa mwezi ambayo sasa ni 1.3T.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo vijana hamutaki kuelewa haya mambo munaleta Mihemko kama mpo kwenye Mahusiano ukweli upo laiti kama makusanyo yakiwa chini utaambiwa ni Asilimia chache kwa kipindi husika maana Asilimia hupatikana baada ya mgawanyo wa makusanyo na makadirio hii ni Great thinker sio Bar hapa.
Sent using...
Uelewa ni kitu kigumu sana maana Asilimia kwenye Ukusanyaji wa mapato upo hivi. Kwanza hakuna Malengo ya miezi mitatu, sita au tisa. Malengo ni ya mwaka hivyo hugawanya katika makundi manne robo, nusu, robo tatu na mwaka mzima hivyo ukiambiwa Makusanyo ya miezi sita imefikia 62% ya malengo kwa...
Naona Ukweli umeupata musikimbilie kupost au kuandika Thread bila Elimu au utafiti wa hivi vitu. Haya mambo sio kama story za udaku. Pia Waziri lengo lake kubwa ni kujitegemea kupitia mapato ya kodi ambayo wanataka kufikia 3T kwa mwezi ambayo sasa ni 1.3T.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikurupuke mwaka fedha wa Serikali huanza mwezi wa saba kila mwaka hivyo Mwezi Disemba ni nusu ya mwaka ikiwa na maana miezi sita Tangu mwezi Julai ulipoanza. Labda kama hujuwi Serikali huweka malengo ya asilimia 100% kwenye makusanyo kulingana na makadirio hivyo basi kama mwezi Januari hadi...
Kuna watu munafanya Jamiiforums ionekane ya kijinga siku hizi munashindwa hata kufikiri hivi mtu anaposema Nusu ya mwaka malengo yamefikia 62% maana yake kuwa kwenye 100% zimebaki ngapi tatizo wengi wenu vilaza mnakuja huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti kubwa kati ya Elimu na IQ kwanza tuanze na hilo, Ukiwa kama msomi mwenye Elimu ya kiwango cha Masters haukupaswa kujiuliza hili swali. nadhani kuna kitu Watanzania tunatakiwa kukitambua kuwa akili ya kawaida ndio huvumbua mambo mengi duniani na sio ya kufundishwa darasani. Mfano...
Hii ni hoja binafsi kama ulivyoelezea pia kwenye hoja binafsi lazima kutakuwa na wapingaji "note" sio hoja binafsi tu hata sera za kitaifa lazima kuwepo na wapingaji hata hii hoja ya kufufua Kilimo watu wangesema kulikuwa na sera ya kilimo kwanza, Misaada ya wahisani katika kilimo na fedha mbali...
Vitu vya msingi usitumie ushabiki kwenye kujieleza inawezekana hujuwi nyuma ya panzia kuhusu wafanyabiashara kugoma kununua korosho wakati ndio biashara yao na kuna baadhi ya nchi duniani zina viwanda wakitegemea korosho kuviendesha hivyo basi jitahidi kutoonesha hisia kwenye mambo madogo ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.