Recent content by Negemu

  1. Negemu

    JamiiForums Tanzania Sijui nilikurupuka au nilikosa mtu wa kuniongoza na sasa sijui nifanyeje?

    Mkuu hiyo bei ni sahihi, mi nilinunua viwanja vitatu hapo mwaka 2022 Tena juu ya hapo shamba la juu kwa mwarabu anaefuga kuku, sqm meter Moja ilikuwa 7000 saivi kwa hapo uliponunua karibu na zahanati kwa bei hiyo ni reasonable kabisaa,Tulia hadi 2030 utarudi kwenye huu Uzi utaniambia,
  2. Negemu

    JamiiForums Tanzania Tazama hii nyumba tunaijenga Kiluvya Madukani May 2026

    Mchawi lami tu kutoka kiluvya madukani hadi kwa masister, maana ikinyesha mvua ule udongo wa mfinyanzi unateleza sana na usafiri wa daladala ungerahisisha sana, otherwise ni bonge la mji,
  3. Negemu

    JamiiForums Tanzania Tazama hii nyumba tunaijenga Kiluvya Madukani May 2026

    Saana ndani ya miaka 7 iyayo napaona kama goba
  4. Negemu

    JamiiForums Tanzania Tazama hii nyumba tunaijenga Kiluvya Madukani May 2026

    Makurunge upande gani mkuu, Nina project hapo kwa mosha barabara ya maua daftari, msingi nimemaliza mwaka jana najipanga na ukuta
  5. Negemu

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki wanajenga kitu gani maeneo ya Makurunge?

    Saivi pamoto, kuanzia makurunge zahanati hadi majumba sita, panajengeka sana, Niko kwa mosha hapa maua daftari road
  6. Negemu

    JamiiForums Tanzania Sasa msipojenga hizi ramani nitamuuzia nani? (Bei mtelezo, Room 2 hadi 7)

    Ofisi ziko wapi nije Nina wazo la ramani yangu tupeane ushauri kwanza
  7. Negemu

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa, kiluvya kwa sumaye square meter 556.5 tsh. Mil 14

    Bei elekezi hapo Kwa sumaye ni 15000 Kwa square meters So hicho kiwanja uza milioni 9
  8. Negemu

    JamiiForums Tanzania Ardhi Special thread

    Kibaha mkuu... Usafiri wa uhakika na haraka.. 2.lango kuu la kuingia jijini kutoka Mikoa yote kutoa Lindi na mtwara,thamani ya ardhi iko juu,na inapanda Kwa Kasi..chanika waswahili wengi.. viwanja vidogo sana ambavyo vitakuja kutengeneza mji mbovu na usiopangika baadae, pia Kuna mafuriko sana na...
  9. Negemu

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa lenta kwa nondo 3 unafaa?

    2 mkuu
  10. Negemu

    JamiiForums Tanzania Ninunue kiwanja sehemu gani ndani ya Dar?

    Nenda Land General planning, Ofisi zao zipo kibaha jengo la CCM MKOA
  11. Negemu

    JamiiForums Tanzania Iringa for the first time in my life

    Itakuwa unakuja kwenye maonesho ya utalii.. karibu kusini Pamechangamkaaa wageni wengi logde Bila booking unaweza kukosa
  12. Negemu

    JamiiForums Tanzania Iringa for the first time in my life

    Maeneo tulivu nenda sunset hotel, backyard lounge, savanna,mount royal hotel,n.k Mziki nenda Miami, royal tour,warm up, luxury,n.k NB: Nitafute sinywi bia zaidi ya 4
  13. Negemu

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, ingilia kati suala hili la VETA

    Fomu zinaendelea kutolewa Hadi tarehe 15-september, fika chochote kilichopo karibu uprwe control no.ulipie 5000 upewe fomu ujaze, au download fomu inapatikana kwenye tovuti ya veta www.veta.go.tz ujaze kabisa ndio uende nayo chuo chochote, orodha ya vyuo na fani zinazopatikana kwenye chuo husuka...
  14. Negemu

    JamiiForums Tanzania Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

    Natafuta kiwanja kuanzia Kibaha na kongowe viwe vya miradi
Back
Top Bottom