Habari wanaJF,
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22, elimu yangu form four na nimesoma computer. Natafuta kazi ya stationery , secretary , kuuza duka au huduma za kipesa kama M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel money.
Nina uzoefu sana na kazi hizi, kwa yeyote mwenye kazi mojawapo naomba...
Yaaani nyie unaandikiwa process BT in bora useme in matumizi yako binafsi au ni kwa biashara nikupe kitu cha kukulinda na biashara yako ,maaana unavyotengeneza unatumia chemical so wanaoenda tumia ni binadam pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.