Natafuta kazi ya statoinery, secretarial au kuuza duka

neema1112

Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
5
Reaction score
2
Habari wanaJF,

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22, elimu yangu form four na nimesoma computer. Natafuta kazi ya stationery , secretary , kuuza duka au huduma za kipesa kama M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel money.

Nina uzoefu sana na kazi hizi, kwa yeyote mwenye kazi mojawapo naomba unisaidie nifanye sibagui mshahara. Nipo Morogoro mjini.
 
Wanakuja dada, hope utafanikiwa
 
Mi natafuta mtu wa aina yako lakini kwa dar
 
Mim Nina kazi tofauti na hyo soon nitaifungua maeneo ya mkambarani moseka weka contact nitakustua
 
Watu wa Morogoro kujeni hapa msaidieni dada yetu anatafuta kazi
 
Habari wanaJF,

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22, elimu yangu form four na nimesoma computer. Natafuta kazi ya stationery , secretary , kuuza duka au huduma za kipesa kama M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel money.

Nina uzoefu sana na kazi hizi, kwa yeyote mwenye kazi mojawapo naomba unisaidie nifanye sibagui mshahara. Nipo Morogoro mjini.
Tunahitaji wafanyakazi wawili (wa kike) i wenye uzoefu na staionary.computer na pia kufundisha au kuelekeza wanafunzi kutumia computer.Pia awe na uwezao wa kusimamaiaw wengine ofisini wasiliana nasi -0717157640
 
Uzi toka 2016
 
Back
Top Bottom