Recent content by NEEMA JS

  1. N

    Kazi kazi Jamani hizi hapa

    Asante ndugu yangu kwa hii post yako...Ila kidigi kama inavyoonekana inasumbua kidogo..naomba kama inawezekana uweke link tuweze kuidownload wenyewe Asante
  2. N

    Naomba nafas nijitolee kwenye ofisi yako

    Sasa nyie badala mumsaidie mwenzenu mnamuliza yote hayo ya nini??? hapo kama kuna mtu ana kaofisi- mpeni msaada jamani...GET TO THE TOPIC--MSAADA WA MAHALA PA KUVOLUNTEER--HANA NDIO MAANA ANATAFUTA nYIE HAMJUI SHIDA YA AJIRA EEEEE???
  3. N

    Program Coordinator

    asante kaka...naona nna vigezo ila nashindwa ku-pm...tunafanyaje?
  4. N

    Feedback kazi za oxfam

    Ndugu wana jf..poleni kwa msiba wa dada yetu regia naombeni kujuzwa kama kuna updates zozote za oxfam gb- walitangaza kazi nyingi dedline ilikuwa december 31, kama kuna yeyote anaefahamu naomba tujuzane humu
  5. N

    Natafuta kazi !!!

    sasa kaka, elezea elimu yako, 4m 4. 6, masters, bachelor, ya nini?????????? hizo ni computer programs kila mtu anazijua
  6. N

    Kazi TAWLA

    msaada wakuu- naombeni mnisaidie pa kulipata lile tangazo la nafasi za kazi TAWLA MANAKE WAMENISHORTLIST KESHO NI INTERVIEW NA TANGAZO LA LILE KAZI SINA..JUST 4 REVIEW...PLEASE!!!
  7. N

    Shortlist za foundation vp?

    wadau walioomba foundation for civil society mshaitwa kwenye nterview??? manake mwezi ndio unayoyoma hivyooooooo!!!!!
  8. N

    Msaada kwenye tuta

    Nisaidieni jamani.....natafuta kazi mpaka nachanganyikiwa. Nina bachelor ya social science na experience ya mwaka mmoja (internship) katika program assistant- sera na utawala bora. Msaada plzzzzzzzz
Back
Top Bottom