Naomba nafas nijitolee kwenye ofisi yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba nafas nijitolee kwenye ofisi yako

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Doyi, Feb 13, 2012.

 1. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Wadau wa jamvini heshima kwenu.Mimi naishi dar maeneo ya mwenge.Nina diploma ya computer science ila tangu nimalize sjabahatka kufanya kaz rasmi kwenye fani yangu kwa hyo naomba kuwezeshwa kupata nafasi kwenye ofsi ambayo naweza kufanya kaz ya kujitolea ili fani yangu isipotee .Lengo langu nipate uzoefu wa kaz wakat nasubiri ajira rasmi(ambayo sjajua ntaipata lini).Kwa mawasiliano nitafte kwa email huzy2006@gmail.com au namba ya simu 0717465686 na 0713986635 au ani PM.natanguliza shukuran.Naomba kuwasilisha na Mungu awabariki
   
 2. M

  Mateka Senior Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Umespecialize katika nini hasa E.g programming, Networking au.
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  mkuu hiyo elimu haijakusaidia kufanya kazi zako mwenyewe? kwani ni lazima kuajiriwa? mkuu ni juavyo moja ya biashara ambazo mtu anaanza with zero capital ni hii ya kuuza ujuzi ulionao.

  Mkuu jaribu kujiajiri na utafanikiwa tu, usipoteze muda mwingi sana kutafuta kazi, so come up with plan B
   
 4. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Mkuu komando naomba udadafue zaid mana sina mtaji.Labda unisaidie mawazo hyo plan B Ndo ipoje?
   
 5. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 801
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Mtaji wa ITspecialisp ni computer{laptop},ndicho anachomaanisha!!Nayo pia hauna??
  Ebu jibu hlo la specializition on what?programming,mysql,networking...?
   
 6. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 801
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Mtaji wa ITspecialist ni computer{laptop},ndicho anachomaanisha!!Nayo pia hauna??
  Ebu jibu hlo la specializition on what?programming,mysql,networking...?
   
 7. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Haya waheshmiwa nimewaelewa.Ukweli ni kuwa lapton sina na kuhusu kuspecialize almost ni kama sjaspecialize mana nimesoma networking,programming,software project management,database,internet and web development technology,datacomunication,principle of management and information system dev methodology.Oke kwa ufup tu ila kama nkipata mtu ntamwonesha transcript masomo nlosoma.Nahtaj sana kuifanyia mazoez fani ya IT. Haya naomba kukosolewa wakuu na kupata mwongozo mzuri.
   
 8. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Maana ya kusoma si ili uandikwe kazi fikiria kutatua mfano tatizo lenyewe la ajira kama msomi. Usitazamie sana kuajiriwa. Ni sawa na msichana kutazamia kuuza mwili wake. Be independent and creative. Tatfuta fedha kidogo nunua antivirus software na uuze mtaani, etc etc. Asante.
   
 9. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 1,766
  Trophy Points: 280
  Vipi ulisomea wapi....hiyo computer science chuo gani.....mi nakushauri nenda chuo cha ucc.....cha mbezi beach branch hawa jamaa hutoa sana hizi nafasi nenda uonane nao kuna jamaa wangu yupo pale namfahamu anapiga field anasema jamaa wana shortage of labour
   
 10. N

  NEEMA JS Member

  #10
  Feb 14, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa nyie badala mumsaidie mwenzenu mnamuliza yote hayo ya nini??? hapo kama kuna mtu ana kaofisi- mpeni msaada jamani...GET TO THE TOPIC--MSAADA WA MAHALA PA KUVOLUNTEER--HANA NDIO MAANA ANATAFUTA
  nYIE HAMJUI SHIDA YA AJIRA EEEEE???
   
 11. Taz

  Taz JF-Expert Member

  #11
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sasa si anaulizwa alicho specialize ili apewe nafasi ya kumsaidia kuendelea ku-practice? Au we ulitaka apewe tu chochote?
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kuna watu mna ushauri kama nguvu za giza! Hiyo hela kidogo akaitafutie wapi sasa? Mpe na maujanja ya hapo. Kwenye kujiajiri watu hawaibuki tu, wengi wanatokea kwenye kuajiriwa labda kama kwenu mambo safi upewe mtaji.
  @mtoa mada huna computer hayo masomo ulikuwa unasomaje?
   
 13. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  oke kaka Mungu akubariki
   
 14. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Husninyo nimekuelewa. Komputa nlikuwa natumia desktop ya home na nikiwa chuo natumia za kwenye computer lab.After all kibongobongo unaweza usiguse komputa na ukafaulu mana ishu nying ni theory na program nying ni kukariri na kuziandika kwenye karatas.Ndo mana nataka nifanye practical sana wakuu
   
Loading...