Recent content by ndunajr

  1. ndunajr

    JamiiForums Tanzania Mikopo Mabenki na Mifuko ya jamii kwa waajiriwa

    Sasa hizi ndio Serikali ingeiingia kurahisisha baadhi ya mambo
  2. ndunajr

    JamiiForums Tanzania Mikopo Mabenki na Mifuko ya jamii kwa waajiriwa

    Mfano Mimi sikopesheki Nina kazi na mshahara safi ila ofisi haidhamini mfanyakazi, afu ofisi ni nyingi tu. Elewa kudhaminika na mabenki sio hizi ofisi mdogondogo za mikopo.
  3. ndunajr

    JamiiForums Tanzania Mikopo, kwa nini Afrika tushindwe kutumia akili nyingi zaidi kuwawezesha watu wetu kiuchumi?

    Sawa nashukuru sana kwa tusi/matusi mkuu wangu. Uzuri jukwaa hili ni huru kwa ajili ya mawazo. Lakini kusema kuwa mifuko ya jamii ipo tu kwa ajili ya kiinua mgongo uzeeni, ndio mawazo haya mgando kabisa yanafanya bara letu la Afrika linaendelea kuwa masikini kabisa. Hakuna flexibilities.
  4. ndunajr

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini NSSF wasiwe wadhamini wa mikopo kwa wanachama wao kwenye mabenki?

    Andiko zuri na sikuata kuliona nisinge andika langu hahaha
  5. ndunajr

    JamiiForums Tanzania Mikopo Mabenki na Mifuko ya jamii kwa waajiriwa

    Mikopo mingi ni ya kuumiza sana na ni kwenye microfinance mabenki Wana masharti magumu. Wazo lako yawezekana lipo sahihi, ila kama huu mpango ukafanikiwa nakuambia watanzania wengi Wana wangepata kujikwamua
  6. ndunajr

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nilipokuwa nafanyia kazi wamenifanyia fitna nikafukuzwa

    Sikiliza bro, wakati wewe unahangaika kutafuta viatu kumbuka wenzio hawana miguu, kuuza si dhambi lakini kwanini? Muite mdogo wako muongee taratibu umueleweshe akuelewe. Lakini pia ushauri wangu wa kininga ni kuwa, hivi eneo lako lina ukubwa Gani? Lakini lipo wapi? Kwa sababu wakati mwingine...
  7. ndunajr

    JamiiForums Tanzania Mikopo Mabenki na Mifuko ya jamii kwa waajiriwa

    Najaribu kufikiri Mimi mswahili. Hivi kwa Nini Afrika hutuwezi kutumia akili nyingi kuwawezesha watu wetu. Ishu ya mikopo hasa kwa watu walio na ajira, nimeona wengi pamoja na kuajiriwa kwao lakini hawawezi kudhaminika kwenye mabenki. Ofisi nyingi zinashindwa kudhamini wafanyakazi wake kupata...
  8. ndunajr

    JamiiForums Tanzania Mikopo, kwa nini Afrika tushindwe kutumia akili nyingi zaidi kuwawezesha watu wetu kiuchumi?

    Najaribu kufikiri kama Mswahili. Hivi kwa nini Afrika tushindwe kutumia akili nyingi zaidi kuwawezesha watu wetu kiuchumi? Kwa mfano, suala la mikopo kwa watu wenye ajira. Nimeona wengi, licha ya kuwa wameajiriwa, bado hawawezi kupata mikopo kwa urahisi kwa sababu hawana dhamana zinazokubalika...
  9. ndunajr

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nilipokuwa nafanyia kazi wamenifanyia fitna nikafukuzwa

    Uuze nyumba tena? Before you quit think why you started. Lakini Siamini kuwa kukosa hata mia ndio ufikirie kuuza nyumba. Jikaze kiume hapo ulipofikia fosi tu uhamie kulaleki,halafu jishushe tafuta shughuri yoyote mkono uende kinywani. Makazini Kuna mambo mengi sana, japo hatujui upande wa pili...
  10. ndunajr

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane Vijumba vya bei Rahisi

    wooh thats very nice yanii oooh kesho napiga msingi cha kupangisha hahaha
  11. ndunajr

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane Vijumba vya bei Rahisi

    Mie sijajua gharama hapa ila nia yangu kuona kama kuna wadau wanazo sample za vijumba kama hivi tujichagulie kwaa ajili ya kujenga.
  12. ndunajr

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane Vijumba vya bei Rahisi

  13. ndunajr

    JamiiForums Tanzania Mungu mkubwa: Nimeokota nyumba Mbweni

    Nikatie kipande hapo Mwandege pana mvuto sana Mkuu, na li stendi la mikoa ya kusini linamwagika hapo.Fanya Jambo mkuu.
  14. ndunajr

    JamiiForums Tanzania Mungu mkubwa: Nimeokota nyumba Mbweni

    Akienda ardhi atakuwa amekosa pa kulala(Watamuondoa), mwache kwanza ale bahati yake.Nyumba hajaiba aliambiwa aiangalie watakuja wapangaji kukagua. Sasa mwenye nyumba hajaja miaka kumi pengine hajapata mpangaji.Si kosa la mtani wangu mtoto wa NTWARA mwache ale maisha na isitoshe hajara mshahara...
Back
Top Bottom