Recent content by ndulazi ndula

  1. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Wewe acha zako ZITO sio mpinzani ila amewapiga upofu hamjamjua tabia na mambo aliyonayo na anayofanya.katika wanasiasa ambao hawafai ni huyu ndugu yako.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ni wanasiasa gani unafikiri watanzania wanatakiwa wasiwaamini hata kidogo

    ZITTO KABWE ni wa ovyo sana
  3. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri mkutano wa Mgombea Urais CHADEMA(UKAWA) Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro

    Lep nimeamini kumbe ukiwa CCM na akili mnapoteza na mnapostujinga.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Lema hali tete Arusha

    wewe nawe kigoma na Arusha wapi na wapi?kaa kwako sio kuwa semea wenzako.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Zitto : Kuna wagombea wanaomba kura kutoka kwenye makabila yao na dini zao

    ZITO hana jipya aache kwanza yeye udini yeye ndo anatabia ya kueneza udini toka.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Zitto : Kuna wagombea wanaomba kura kutoka kwenye makabila yao na dini zao

    ZITO hana lolote sisi tulio kigoma tunaona jinsi alivyo wagawa watu kwa udini maana anaeneza udini eti leo hii nae anajifanya kusema ukanda kama sio ni yeye!shame on you ZZK.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Zitto kumwachia cheo Mgombea Urais ACT

    Hakuna mwanasiasa anayeniboa na simpendi kama ZZK.kamwe hata aje agombe nafasi yoyote kura yangu asahau
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kama wewe unajihisi una wakati mgumu embu jaribu kumfikiria anayegombea uraisi kupitia ACT-Wazalendo

    Mmemtoa sadaka mama wawatu mbona kitila alikataa kugombea?ACT ni wachumia tumbo tu.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Chama kilichobakia chenye uwezo wa kukemea ufisadi bila woga wala kutetereka ni ACT

    ACT yenu ZITO ni wapiga madili wote hakuna chaukombozi.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Habibu Mchange

    Mchange IQ yake bado ndogo sana hata fm six yake mimi nina wasiwasi nae sana.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Habibu Mchange

    ACT nchi mnayoisema kuwa mnataka kushika ni TANZANIA au pale Mwandiga Kigoma ?maana si wseleqo kabisa nani anaweza kuwapigia kura labda hao wavuta bangi kama sele.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Habibu Mchange

    MCHANGE na ZITTO kwa sasa wapp kwenye biashara ya siasa hawana jipya.LOWASA ndo kila kitu.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    Hamna jioya hapo hizo ni porojo za zito mtaambulia p
  14. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    Labda mwandiga ikiwa nchi hapo sawa na kisangani mwanga.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    ZITO wenu hana kitu alishafulia sasa hivi anaeneza chama kiudini ili aungwe mkono ila hana jipya lolote.
Back
Top Bottom