Basi jitahidini huyu mama apelekwe kwa wazee... ukiweza pata kaka wa huyu mama au mjomba wa mchumba wako pia akiwa upande wenu mtalimaliza hili. Mwambie mchumba wako akaongee na mjomba wake mkubwa kama yupo.
1. Mumeo anakupenda, YES
2. Baba Mkwe anasemaje? au yuko na mkewe?
3.Kama baba mkwe anataka mwanane akuwowe, hakikisheni huyo mama anaongea na wazee (Hili swala baba na mwanae wanaweza lisimamia)
4. Ikishindikana fungeni ndoa, muombeni Mungu, kikubwa wewe ondoa chuki na mama mkwe, hakikisha...
Hatari sana, hivi Kwa Maelekezo ya Wizara ya Afya, huyu bwana alikuwa sahihi kuongea vile na kikohozi bila barakoa? Pembeni akiwa na wape jamaa wawili nao bila barakoa za kutengenezwa MSD?
Buberwa, je Seif anagombea nini huku bara. Huku Bara Seif ni moiga kura tu kama wewe au mimi na ana haki ya kwenda mkutano wa mgombea urais yeyote anayetaka yeye, ikiwamo rais Magufuli kusikiliza hotuba zake ili ajue anamchagua nani katika uchaguzi wa rais wa Jamhuri.
F
Maalim Seif kama mtanzania mwingune ana uamuzi wake wa kwenda kuhudhuria kampeni popote za mtu anaona anafaa kuwa Raisi, je angeenda kwa JPM angeandikiwa barua?
Kumbuka yeye sio mgombea wa urais Bara.
Yeye na Mrema hawana tofauti, haya tuone barua nyingine kwa Mrema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.