Recent content by Ndove

  1. Ndove

    JamiiForums Tanzania Hp pavilion 15 core i7 8th gen nvidia graphics

    Je hii laptop wakuu ipo vizuri kuhimili Gaming, ubora wake ni upi na uthaifu wake ni upi? Kwa wanaofaham kuhusu mambo ya games kwenye pc. Kwa games za online (eg pubg) na offline pia.eg (far cry) na mengine.
  2. Ndove

    JamiiForums Tanzania Natafuta display back cover ya laptop PROBOOK 6470B.

    Cover yake imeharibika na hanges zake za kushikia kioo zimekatika. Yeyote mwenye navyo anijuze na gharama itakuwa sh ngapi!
  3. Ndove

    JamiiForums Tanzania Ni nini tofauti kati ya Processor Type na Processor Model kwenye laptop

    Hiyo hapo picture
  4. Ndove

    JamiiForums Tanzania Ni nini tofauti kati ya Processor Type na Processor Model kwenye laptop

    Kwa mfano unaweza kuta pc iko na specs kama Processor type: Intel core 2Duo Processor Model: intel 6th gen core i7 au i5 nakuendelea Sasa nataka kujua tofauti yake ni nini?
  5. Ndove

    JamiiForums Tanzania Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    Pamoja Mkuu ntakuchek
  6. Ndove

    JamiiForums Tanzania Laptop hii ipo vizuri kwa gaming?

    Ngoja nifuatilie vizuri, kma unavyosema lisije kuja kasha. Maan laptop naion n kubwa. Na pia cjawah kununua chochote from Alibaba online, natakiwa kupata wataalam wazoefu wa hio platform ili niweze kupata taarifa sahihi. Nisije pigwa na kitu kizito
  7. Ndove

    JamiiForums Tanzania Laptop hii ipo vizuri kwa gaming?

    Ninapenda kuplay games n hobby yangu sanaa ila cina uelewa sana kuhusiana na vitu muhimu kweny pc vitavyosupport games nyingi kucheza Vizuri (napenda sana offline na online Action Games eg Pubg, ) Mfano umeelezea FPS, rtx gpu, na dlls na vp kuhusiana na core , naomba unielekeze hv vtu.
  8. Ndove

    JamiiForums Tanzania Laptop hii ipo vizuri kwa gaming?

    Ila hzo nadhan gharama yake itakuwa kubwa , cio
  9. Ndove

    JamiiForums Tanzania Laptop hii ipo vizuri kwa gaming?

    Action games kama call of duty blac opps, far cry zote, elite sniper na mengine mengi ya action
  10. Ndove

    JamiiForums Tanzania Laptop hii ipo vizuri kwa gaming?

    Za actions, mpira , online games
  11. Ndove

    JamiiForums Tanzania Laptop hii ipo vizuri kwa gaming?

    Kuna uwezekano wa kubadili processor kwenye laptop?
  12. Ndove

    JamiiForums Tanzania Laptop hii ipo vizuri kwa gaming?

    Na hii vp wataalam je iko vizuri? Kusukuma heavy games? Na hizi ndizo sifa zake 👇
  13. Ndove

    JamiiForums Tanzania Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    Aliexpress nimechek nimekuta bei zake ni ghali (gaming laptop), ndio maana nikaenda kucheki alibaba. Nikakuta price zake zina unafuu
  14. Ndove

    JamiiForums Tanzania Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    Nahitaji kuagiza gaming laptop moja from Alibaba (maana nimeona zina unafuu wa Bei kidogo) , mwenye uzoefu anijuze, taratibu zake zinakuwaje. Na je Alibaba wanauza kitu kimoja kimoja?
Back
Top Bottom