Recent content by ndonji

  1. N

    Kilimo cha kontua

    Habari zenu wakuu! Kama kuna mtu anaweza kunielewesha aina hiyo ya kilimo(kontua) naomba anisaidie. Ukitupia na picha itanisaidia kuelewa zaidi.
  2. N

    Dalili za mwanamke anayechepuka kwenye mahusiano(Ndoa)

    Pointi namba 11 Ina ukweli kiasi gani Mkuu!? Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  3. N

    Wagoma kujiunga form one kisa ugumu wa ajira

    Elimu haina mwisho,mi nadhani wakishapata ujuzi na wakijiajiri,nafikiri Kwa hapo baadae kama watahitaji kujiendeleza wanaweza fanya hivyo kuliko kupoteza muda na kuendelea kuwa mizigo kwa wazazi,ndugu na jamaa! Ukizingatia elimu yetu haimwandai mtu kujiajiri.
  4. N

    Chakula kipi uliwahi kutana nacho ugenini ukajutia ugeni wako?

    Niliendaga ukweni nikakaribishwa ugali wa muhogo na kisamvu Cha chukuchuku,nilipata shida sana.
  5. N

    Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

    Naomba ufafanuzi wa geological time scale Kwa kiswahili
  6. N

    Naombeni msaada kuhusu Geological time scale

    Wakuu habari za muda huu!kama Kuna mtu ana uwelewa kuhusu Geological time scale anisaidie Kwa lugha nyepesi.
  7. N

    TANZIA Mashaka Matongo a.k.a. Abiola afariki dunia

    Hawezi kurest baada ya kifo kama hakutengeneza maisha ya kurest alipokua hai.
Back
Top Bottom