Recent content by Ndongaa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu Sheria za Uhamiaji

    😂😂😂😂 hujanipa point
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu Sheria za Uhamiaji

    Je ni taratb zipi na pesa ngp koz mm 27yrs naambiw too late labda kama nawz klpia dola 3000
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu Sheria za Uhamiaji

    Je, ni taratb zipi na pesa ngp koz mm 27yrs naambiw too late labda kama nawz klpia dola 3000
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu Sheria za Uhamiaji

    Mama si raia kama nilvosema kwaio et sheria inakutaka ukifkisha 18 yrs uape kukana uraia wa mama
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu Sheria za Uhamiaji

    Kama nimezaliwa Tanzania, baba yangu ni Mtanzania na mama si Mtanzania, anaishi kwa dependant pass, je mimi ni raia au si raia? Juzi nimekamatwa na Uhamiaj kuwa sijaapa kukana uraia wa mama.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Bukoba: Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha kukatika kwa mawasliano ya barabara baada ya daraja la Kanoni kufunikwa na maji

    Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha kukatika kwa mawasliano ya barabara baada ya daraja la Kanoni kufunikwa na maji.Daraja la Kanoni ndilo linalounganisha barabara kuu ya kwenda mikoani, lipo Hamugembe. ma
  7. N

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Transparency in Uganda, Tanzania where and why do we fail

    tanzania tunashindwa nn kuwa na transparency ya namna hii hapa ni scale na mishajara ya watumish wa umma uganda
Back
Top Bottom