Recent content by ndolelejiUduhe

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mdogo wake Nchimbi atekwa

    Kazi kweli Kweli !
  2. N

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Iwapo Nchimbi hataonekana hadharani ndani ya wiki moja tutaiburuza Serikali mahakamani

    Na mbele ya Mwenyekiti Chama si lolote si chochote. 😁 😁😀😎
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mussa Ismail Bad anayehusanishwa na Emmanuel Nchimbi atekwa

    Ndio maana Gentleman yupo yupo tu na Ok, !
  4. N

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Utajiri wa taifa lolote duniani si vitu, ni ubora wa watu wake

    Kwenye Mwendokasi full kiyoyozi na kama watu wanatetemeka kutokana na njaa ! Hapo inakuwaje ?! 😁
  5. N

    JamiiForums Tanzania Taifa lina haki ya kujua Makamu wa Rais mstaafu yuko wapi, kama amepotea atafutwe

    Basi kama ameamua kuwa hivyo maana yake ni kwamba hata yeye hajui nini maana ya mtu kuwa ni Public figure ! Kwahiyo ni kazi bure hata kumuongelea 😳 !
  6. N

    JamiiForums Tanzania Taifa lina haki ya kujua Makamu wa Rais mstaafu yuko wapi, kama amepotea atafutwe

    Giko lulu nkwingwa 👍😁
  7. N

    JamiiForums Tanzania Taifa lina haki ya kujua Makamu wa Rais mstaafu yuko wapi, kama amepotea atafutwe

    Mimi ni Kobazi 😁 Nilisali juzi 👍
  8. N

    JamiiForums Tanzania Taifa lina haki ya kujua Makamu wa Rais mstaafu yuko wapi, kama amepotea atafutwe

    Yeye ni Public figure ! Ndio maana 😳 !
  9. N

    JamiiForums Tanzania Taifa lina haki ya kujua Makamu wa Rais mstaafu yuko wapi, kama amepotea atafutwe

    Hata mpambe wake mashuhuri Tlaatlaah amebakia kusema ok , 😁🤣😀 !
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mohammed Kawaida: Mliona tulichokifanya, mwingine ajifanye mkubwa kuliko CCM aone

    CCM Vs SYSTEM = who’s most powerful ???!! 😳🙄 😳 !
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: WanaCCM amkeni tupambane na state capture ya Wicknell Chivayo na Genge lake kwani ndio wanayeongoza Tanzania kwa sasa, Raisi ni Kivuli tu.

    Duh 🙄 ! Hata Nchimbi alisema hivi 😳 ! Kheee ! Kunani paleee Tanga ?! Maneno magumu haya mpaka yamenifanya niukumbuke ule wimbo maarufu wa Kunani palee Tanga !😳😳😱 ! Ngoja Tusubiri tuone !
Back
Top Bottom