Recent content by Ndokeji

  1. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tunajaribu mitambo kama itaitika 6B049F sportbet
  2. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Atletico ka
  3. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wekeni Kodi wazee
  4. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Nchi imegeuka ya wacheza kamari!

    Ubunifu na Maarifa ya kizazi kijacho kweli yanazidi kufa lakini 20% ya watz , Hata nchi zilizoendelea kamari ni sehemu ya Maisha ya watu , uzuri kamali ni option Hata Mimi naicheza kama hizi sportbetting nakula Hela na kusomesha watoto na familia inakula Dunia hii Ina Mungu ndio...
  5. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Nchi hii raia wanaishi kwa hofu leo nimevamiwa na vibaka mkuki umenisaidia

    Kaka ulisubili usikie Kwenye vyombo vya habari wamepasua fuvu Langu ndio uamini
  6. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Nchi hii raia wanaishi kwa hofu leo nimevamiwa na vibaka mkuki umenisaidia

    😆Huku silaha za Jadi Mkuki na upinde ni lazima Kwenye Mji , Huku tutawamaliza
  7. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Nchi hii raia wanaishi kwa hofu leo nimevamiwa na vibaka mkuki umenisaidia

    Mkuu ujasiri tumefundishwa tukiwa wadogo Maana Huku kwetu ukifikisha Miaka 18 enzi za nyuma lazima ujue kutumia Mkuki na Mshale Ili kwenda kupambana na wezi wa ngo'mbe polini
  8. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Nchi hii raia wanaishi kwa hofu leo nimevamiwa na vibaka mkuki umenisaidia

    Hali ya Amani katika nchi yetu imetoweka kabisa watu wanaishi Kwa hofu, Leo usiku saa 8 :43 Vibaka walivamia kwangu walikuwa 9 , Wakaweka Mawe Makubwa Kwenye Milango yote. Nafuga kuku na Kanga , wakaingia Kwenye Banda la kuku, Nikasikia Kanga wanapiga kelele nikachukua slaha yangu , nikazima...
  9. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Taifa limekuwa la kamari. Kila kona kila mahali kamari. Watu wanaibiwa pesa zao

    Ndio Maana vibaka wameongezeka Kwa Kasi sana wananchi wanaishi Kwa hofu
  10. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Bima ya NHIF inasababisha Hospitali kushindwa kujiendesha kwa kutolipa madeni. Rais Samia angazia macho huko

    Kwenye Afya kuna gharama kubwa Sana angalia nchi zote zenye lifespan ndefu wamewekeza kwenye Afya na gharama za Matibabu ziko Juu
  11. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Bima ya NHIF inasababisha Hospitali kushindwa kujiendesha kwa kutolipa madeni. Rais Samia angazia macho huko

    Watanzania sijua aliyetuloga Nani Makosa uzembe wa watu anasingizia aliyelala umilele
  12. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Bima ya NHIF inasababisha Hospitali kushindwa kujiendesha kwa kutolipa madeni. Rais Samia angazia macho huko

    Ukweli UPI unataka wambie BIMA wajibu wamo humu kama si kweli
Back
Top Bottom