Recent content by Ndikwega

  1. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mpira una Matokeo ya Kikatiri Mno.
  2. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba Uwe Unanitag Mkuu!
  3. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu, binadamu ukiwajua usiumize kichwa unawapuuza tu. Sehemu ya Maisha tu mbona.
  4. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Naombeni Mrejesho kwanini watu wanaisifia sana Carina TI?

    IST 1500Cc natembea 20/Lita kwa highway, mpaka mwenyewe sijaamini aisee. Na ni ya muda ni Number C.
  5. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Ijue piston: Elimu haina mwisho

    Moja ya Elimu niliipenda saana katika Maisha ya Agromechanics enzi hizo. Saafi kabisa!.
  6. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mark ii VVTI

    On of the best comment ever. Wewe kweli upo kwenye kundi letu wanaume na si watoto wa kiume. Mleta mada, chukua hii.
  7. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

    Kakushauri Vizuri huyu Mdau. Labda Kuongezea hata Funcargo
  8. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania MaBoss Wetu na Uongozi wao

    Daah, pole saana Mkuu! Huyu wa Kwangu wa Serikalini na najua hana la kunifanya maana ni kama tu Supervisor wangu. Ila alinikera saana maana alifura Jambo ambalo kabisa anajua tumekuwa wote muda mredu kidogo sijawahi fanya hivyo. Yeye Kapanic balaa.
  9. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania MaBoss Wetu na Uongozi wao

    Binafsi niliwahi itwa Ofisini Kwa Boss na Kuambiwa eti kwanini nimemdharau wakati hata sijawahi Kuwaza Kumdharau. Kumbe Taarifa alizopeleka PS wake jinsi ya Kuziwasilisha kaziwasilisha sivyo Kabisa. Kiukweli niliharibiwa siku nzima, nikawaza saana ila nikawasamehe wote Mungu ndiye anajua ya...
  10. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania MaBoss Wetu na Uongozi wao

    Nimefungua Uzi huu Mahsusi kwa ajili ya Kujadili na Kujadili baadhi ya Changamoto za Maboss wetu hususani wa Afrika. Yeyote uliwahi ama unapitia na Kukumbwa na Uonevu ama Kusingiziwa na Maboss aidha kwa kuamua wenyewe ama Kulishwa Majungu na Wale Watu ambao siyo wazuri kwako. Tunaomba pia...
  11. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wakati Gari inapigwa Starter Moto unakuwa unafika Lakini haiwaki!

    Shukrani saana Umesoneka Vizuri Mtaalamu.
  12. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wakati Gari inapigwa Starter Moto unakuwa unafika Lakini haiwaki!

    Haiwaki kabisa Mkuu, inaishia hivyo hivyo. Gari ni ya Petroli.
  13. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wakati Gari inapigwa Starter Moto unakuwa unafika Lakini haiwaki!

    Ni ya Petrol Mkuu. Karibu kwa Ufafanuzi Mkuu!
Back
Top Bottom