Recent content by ndikumangenge

  1. ndikumangenge

    Kafulila: Sensa hii ni muhimu, itatumika kutengeneza dira ya maendeleo ya Taifa ya 2025-2050

    David kafulila ni Kama mchanbuzi wa soka atachambua sana Mpira lakini mpeleke uwanjani ni vituko vitupu David kafulila ni msemaji mzuri wa msuala mbalimbali na anajua kujenga hoja namfamu Toka akiwa sekondali lakini si mtendaji mzuri kwanza ni mvivu kwa Kila kazi afanyayo ila ni mtaalamu wa...
  2. ndikumangenge

    Yaliyojiri Mahakamani kwenye kesi ya Halima Mdee na wenzake kupinga kuvuliwa Uanachama

    Paschal mayala ndie mtu wa hovyo kuwahi kutokea jamiiforum anasifia. anaponda.utampenda kukiwa na kaharufu ka uteuzi hapo ndipo Sasa jina la mayala linapochukua nafasi yake Sent from my itel A661W using JamiiForums mobile app
  3. ndikumangenge

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi Februari 01, 2022

    Kama kweli jeshi letu lina watu wenye vyeo vya hadhi ya luteni wa jeshi mwenye akili kama ya urio naanza kupata mashaka na jeshi letu Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
  4. ndikumangenge

    Ukimsikiliza vizuri Lt Urio hii kesi ya Mbowe ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi. Urio aliombwa kusaidia CHADEMA kutwaa madaraka Wananchi wasiteseke

    Mbowe sio gaidi hata maraika manabii wote na mitume wanajua hilo Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
  5. ndikumangenge

    Rwanda wanajenga kinu cha Nyuklia; sisi bado tuna maono ya kujenga madarasa miaka 60 ya uhuru

    Huyo msomi amejibu kiu yangu na nimejifunza. Kitu kutoka. Kwake. Na ni ukweli mtupu lakini tatizo sio viongozi tu hata sisi wananchi kuna sehemu hatuko sawa vichwani kuna jamaa mmoja alimnunulia mchepuko wake simu ya raki 3 huku akiwa na.deni LA kodi ya nyumba na ilihali yy. Mwenyewe simu yake...
  6. ndikumangenge

    Rwanda wanajenga kinu cha Nyuklia; sisi bado tuna maono ya kujenga madarasa miaka 60 ya uhuru

    Mkuu wa wilaya mwegeloni,mwingine nick2 hapo utegemee maendeleo kweli?
  7. ndikumangenge

    Rwanda wanajenga kinu cha Nyuklia; sisi bado tuna maono ya kujenga madarasa miaka 60 ya uhuru

    Sisi akili yetu na vipaumbele vyetu sio maendeleo ni kula bata tu
  8. ndikumangenge

    Kitendo cha Waziri Gwajima kuagiza Mchungaji Gwajima akamatwe kinadhihirisha kuwa Serikali hii haiwezi kushindana kwa hoja

    Gwajima anatuhumiwa kutoa rushwa ya neno la mungu kuwahonga waumini wake iliwasichanjwe chanjo iliwaugue kolona waende kanisani kuombewa kwa dau kubwa kwa lengo LA kujiingizia kipato hapo ndio takukulu wanapohusika
  9. ndikumangenge

    Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19

    Hata Mimi bado najiuliza hivi anapowadanganya waumini wake na wanapiga vigelegele akiri wanakua wamepeleka wapi jamani hivi kwenye jukwaa hill hakuna muumini wa gwajima aje atuambie wakati bwana gwajima anapojimwambafai kanisani.akiri zake yeye binafsi anakua amepeleka wapi?
  10. ndikumangenge

    Historia ya Vita ya Kagera 1978-1979

    Askari wrote waliokufa vitani ni 614 ikiwa nipamoja na askari wa kigeni waliokuka kutupa msaada angalalia vizuri mnara wa mashujaa wa vita ya Uganda kaboya uliopo mkoani kagera
  11. ndikumangenge

    Kwanini Rais Samia unafanya maisha yetu Watanzania kuwa magumu hivi?

    Unapandisha bei ya mafuta" unapunguza bei ya bia? Au mama anapiga vyombo
  12. ndikumangenge

    Ifike mahali Askofu Gwajima na wengine wa jinsi yake wadhibitiwe kiserikali na kichama kuhusu chanjo ya UVIKO-19

    Gwajima kwa hill ni gaidi serikali imufungulie mashitaka ya kukaidi na kuhamasisha wananchi kupinga chanjo ya covid19 huku yeye akiwa hana njia mbadala kwa maana hiyo ni saws na kuhamasisha wananchi tufe wala tusikimbie hatua hata moja kunusuru maisha yetu
  13. ndikumangenge

    Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    Hilo ni daraja au kichanja cha kuanikia samaki? Jamani tuambieni ukweli
  14. ndikumangenge

    Mjue binadamu wa ajabu anaitwa Unju bin Unuk

    Kwa kweli ni siamini japo kuna kaka yangu Siku moja alikua kaenda kwa rafiki yake usiku kachelewa kuludi akatoka huko SAA 7 usiku wakati analudi anasema alipofika mitaa fulani Malibu na uwanja wa shule ya msingi aliona jitulefu urefu wake km mnala wa simu limesimama mguu pande anasema distance...
Back
Top Bottom