Recent content by NDIKILO

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    utajua wapumbuvu kwa ufinyu wa fikra kutetea escrow ni ushenzi na laana ambayo hawa wana haramu wa maccm wataujutia baadae. Mizigo imezaa lumbesa ndo haya mnayo yaona vyuo vikuu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Robert R Bujiku Mratibu CHADEMA Kanda Ziwa Magharibi

    Makamanda nahitaji kujua hali ikoje katika kanda zingine huko mliko.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Robert R Bujiku Mratibu CHADEMA Kanda Ziwa Magharibi

    Nichukufursa hii kuwaletea mahojiano yangu na Kamanda BUJIKU ambaye ni mratibu wa chadema kanda ya ziwa magharibi. KUHUSIANA NA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA Kamanda wewe ni mzaliwa wa wapi? Bujiku,mimi ni mzaliwa wa Kijiji cha Lugeye, Wilaya ya MAGU. Je unafamilia? ndiyo ni na mke na watoto...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Twaweza: Maoni na Matakwa ya Wananchi juu ya Uongozi wa Kisiasa Tanzania kuelekea 2015

    Mbona kuhangaikia utafiti wa dr.bana amabaye ni kila wa ccm? si alikuwa mshauri wa rais mambo ya siasa wakamtema anajipendekeza muda ukiwa umeisha. that is a stupid business of the same fool.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nape: wananchi msikubali kuchukuliwa alama za vidole katika kuboresha Daftari la kupika kura

    kuna tatizo kubwa na uelewa kwa huyo nepi nauwe,amejaza mawazo mgando na hofu kubwa ya kupoteza kitumbua mwaka kesho kitu ambacho ni hakika watapoteza tu. haja yao kubwa nikutaka kubaki na daftari la wafu lililojaa vivuli vinavyoishi, kauli yake na chama chake vinapaswa kulaniwa sana.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Steven Wassira ndiye atakayempokea kijiti Kikwete 2015

    Msiambukize watu ebola bure
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za CCM zina maadili kuliko nyimbo za Vyama vingine

    Unajua nyimbo wewe? au unalopoka tu manyimbo yaliyofilisi watanzania ndo unashabikia
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wakulima,Wafugaji,Vijana Watoa Kauli kutoka Pembe za Tanzainia kuwa Rais wao ni Mwgulu Nchemba.

    ukitumwa mtu wa kufananisha na sokoine utapeleka hili tapeli lililokwapua pesa za epa na sasa limesaidia kutoweka kwa bilioni 200 za escrow acha uchizi mmelaani wa maccm kwa kufuta azimio la arusha laana hii itawatafuna nyie na kizazi chenu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afungua mkutano wa baraza la vyama vya siasa nchini

    Hakuna kikao kama hicho hiyo picha ni ya zamani tunayo kwenye archives zetu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hoja za Katibu Mkuu wa CCM, Kinana zinawafanya wapinzani kukosa hoja za kisiasa

    hujui the way a somalis kama yeye anavyo kill hiyo party yenu
  11. N

    JamiiForums Tanzania Diwani CHADEMA akosa dhamana, aswekwa mahabusu

    Diwani wa CHADEMA Kata ya Nyamanoro Ilemela Mwanza ,Bwana Abubakari Mwombeki Kapera leo amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Mwanza ili kujibu shitaka linalo mkabili la tuhuma ya kumfungia ndani ya ofisi Mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela.Bahada ya kusomewa shitaka hilo Diwani alikana...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Diwani CHADEMA kufikiswa mahakamani

    Diwani wa CHADEMA kata ya Nyamanoro Ilemela Mwanza bwana ABUBAKARI KAPERA,anatarajia kufikiswa mahakamani kutoka na tuhuma ya kumfungia ndani ya ofisi Mkurugenzi wa halimashauri ya manispaa ya Ilemela Mwanza.Itakumbukwa kwamba kutokana na mchezo mchafu wa CCM,na Mkuu wa Mkoa wa MWANZA Eng...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete achukua fomu ya Ubunge Chalinze

    Huyooooooooooo ridhiwani waziri mtarajiwa wa uchukuzi na usafirishaji wa meno ya tembo na poda.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani ashinda ktk Kura za maoni CCM kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Chalinze

    Tusubilie kikwete akistaafu salma kikwete awe mgombea uraisi kupitia ccm
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani ashinda ktk Kura za maoni CCM kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Chalinze

    Ccm ina wenyenayo na watu vibao
Back
Top Bottom