Nichukufursa hii kuwaletea mahojiano yangu na Kamanda BUJIKU ambaye ni mratibu wa chadema kanda ya ziwa magharibi. KUHUSIANA NA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Kamanda wewe ni mzaliwa wa wapi? Bujiku,mimi ni mzaliwa wa Kijiji cha Lugeye, Wilaya ya MAGU.
Je unafamilia? ndiyo ni na mke na watoto wawili.
Je una elimu ya kiwango gani na eneo lipi? Bujiku, nina shahada ya uzamili yaani MASTER kwenye masuala ya utafiti, mipango na uongozi shahada zangu zote nimesomea SAUT , lakini naendelea na masomo ya shahada ya Uzamivu.
Nimeshawishika kukutafuta kwa sababu ya kazi kubwa unayoifanya ndani ya chadema, kuwa kwa kipindi cha miaka miwili ya uongozi wako tumeshuhudia Chadema imepanda gafla Katika kanda hii nini siri ya mafanikio yako?
Bujiku, mafaniko haya yanatokana na kufanya kazi kwa bidii kama timu,sisi tunafanya kazi kama timu na tunaishi kwa principles, kama kiongozi natumia muda wangu mwingi kubuni,kupanda,kuelekeza,kuratibu,kusimamia utekelezaji na kufanya ufuatiliaji na tathimi ya mipango ya chama.Huwa si subiri ripoti ofisini tu bali hufika field na kushiriki kazi za chama kabla ya kuziripoti kwa Katibu Mkuu.
Nimesiki kuwa unamisimamo mikali sana kwanini?Bujiku, nikweli inaonekana ni hivyo kwa sababu sipendi utani kwenye kazi, kazi hii inabeba matumaini yote ya watanzania ni vyema tukafanyakazi kwa kuheshimu matarajio hayo makubwa ya umma.
Nimepata kukusikiliza kwenye hotuba zako, unapenda sana kutumia mifano hai huku ukihusisha sera na maisha halisi,naona unazidi kupendwa kwa approach hii ya hotuba unadhani kwanini? Bujiku, unajua kamanda siasa si kusema chochote, Watu sasa wanatamani kusikia na kuona chadema tutafanya nini tukipewa serikali hasa kuanzia hizi za mitaa na vijiji hivyo ni lazima uzungumzie uhalisia wa maisha ya watu na mikakati mliyo nayo ilikukabiliana na umasiki,ujinga na maradhi ndo maana watu wanajaa sana kusikiliza hotuba zangu kwa kuwa zina suluhisho kwa matatizo yao wakituchagua.
Naomba kujua mmesimamisha wagombea kiasi gani uchaguzi huu? Bujiku, tumesimamisha wagombea kwa asilimia 84.4% hii ni wastani kwa kanda nzima, ukiondoa Mapingamizi ambayo ni kama 10% na kwa ujumla mapingamizi yametuathiri sana pamoja na hujuma za kihuni za ccm. any way kwa kanda yetu tumejitahidi.
Inaonekana kanda yako kuiathiri sana ccm ni kwanini?Bujiku, infact tuko smart sana, tumeweka malengo na tunampango mkakati ambao hutoa dira ya utekelezaji, lengo letu ni kubaki na ccm kwa asilimia zisizozidi 20% by june mwaka kesho na kwa hili nikuhakikishie kamanda tunaweza kwani tuko serious na kazi hii.
Nimekufuatilia sana nanimebaini unauwezo mkubwa sana wa kujenga hoja na kufanya ushawishi, huoni ni muda mwafaka chama wakupeleke MAGU ukasimame kugombea hilo jimbo! make nilikusikiliza siku ile yauzinduzi wa kampeni za Magu ulitoa hotuba ya pekee ambayo imebaki kuwa gumzo Magu?
Bujiku,nikweli hilo naliona sana, Wakati ukifika na Mungu akipenda na chama kikiamua naamini nitafanya hivyo.
Je huoni kuna haja ya wewe kuanza mapema,make na hisi wewe ukiongezeka Bungeni Chadema itakuwa imeongeza Mbunge muhimu mno mwenye uwezo mkubwa wa kuchambua hoja na hata kuleta mabadiliko Magu?
Bujiku, ni kweli hilo halina shaka Magu inahitaji mtu mwenye uwezo wa kuongoza na sikufanya siasa tu, watu wa Magu wamekikubali chama mara baada ya reform kubwa niliyoifanya ndani ya uongozi wa chama, tusubiri muda ufike, hii ni fursa kwa wanachama wote, hivyo hata mimi ni mwanachama ni kipatiwa hiyo fursa nitasamama
Ebu niambie maendeleo ya kampeni kwa ujumla. Bujiku, kwa kweli kanda yetu tunaendelea vizuri sana japo mapungufu yapo lakini tunatarajia ushindi mkubwa sana Mungu akipenda.
Asante kamanda