Recent content by ndibuka

  1. ndibuka

    JamiiForums Tanzania Sababu gani ilipelekea ukafukuzwa kazi?

    Huyu ni mkubwa kwako mkuu ni around 38
  2. ndibuka

    JamiiForums Tanzania Sababu gani ilipelekea ukafukuzwa kazi?

    Tuanze na wako kwanza
  3. ndibuka

    JamiiForums Tanzania Sababu gani ilipelekea ukafukuzwa kazi?

    Ni Pm mkuu
  4. ndibuka

    JamiiForums Tanzania Sababu gani ilipelekea ukafukuzwa kazi?

    Mkuu acha tu na yule dada kuna kipindi hua silaumu sana kwani aliingia kwa miguu yote,sasa maneno ya ndugu zangu yalimchefua zaidi kiasi hakua naa namna ya kusort out hii changamoto
  5. ndibuka

    JamiiForums Tanzania Sababu gani ilipelekea ukafukuzwa kazi?

    Hata sina namba yake ila mwaka jana nilionana nae Wizarani Dodoma katika Warsha moja hivi.......... Aliniangali na kama alitaka kunisemesha ila mie nikawa uso wa mbuzi.............,.. kama uko Serious namba yake ni rahisi kuipata
  6. ndibuka

    JamiiForums Tanzania Sababu gani ilipelekea ukafukuzwa kazi?

    Samahani mkuu ni 2017, typing error
  7. ndibuka

    JamiiForums Tanzania Sababu gani ilipelekea ukafukuzwa kazi?

    Mkuu umenikumbusha mbali kidogo....... Namie naomba kushare cha kwangu Ilikua hivi Mwaka 2017,nilipata kazi sehemu flani ni NGO,baada ya kupata hii kazi bwana nikaanza rasmi M&E Coordinator,na nilianza kwa mbwembwe kweli ila walikua wanashindwa kunielewa coz hua nina formula yangu hii(I come i...
  8. ndibuka

    JamiiForums Tanzania Lissu ataongozaje chama wakati anaishi Ubelgiji, na familia yake yote ipo huko

    Familia ya TAL haipo Ubeligiji,hilo ulijue
  9. ndibuka

    JamiiForums Tanzania Lissu ataongozaje chama wakati anaishi Ubelgiji, na familia yake yote ipo huko

    Kwani TAL anaishi nje ya nchi?
  10. ndibuka

    JamiiForums Tanzania Lissu ataongozaje chama wakati anaishi Ubelgiji, na familia yake yote ipo huko

    Dah!!!!! Nilidhani kwa umri wangu huu nshamaliza kuona upuuzi wote duniani😂 nakupa namba za Paul Bia wa Cameroon,then umuulize kua anawezaje kuongoza nchi na wakati anaishi Ufaransa,au ndio TAL huyu?
  11. ndibuka

    JamiiForums Tanzania Ahadi zinazotolewa hapa hata wanasiasa wakasome!

    Baby❤️ usijali kabisa,yaani nitakujengee nyumba ya kisasa...... Mabati chini na msingi wa nyumba utakuaa juu🤣 we nipe make libolo FC itauma sana mpaka naeza enda lazwa
  12. ndibuka

    JamiiForums Tanzania Kwa ushindi wa Tundu Lissu, sasa inabidi Peter Msigwa utafute mwelekeo Mpya wa Kisiasa

    Nadhani hii nafasi ipo kimkakati sana
  13. ndibuka

    JamiiForums Tanzania Mbeya raha sana wakuu

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  14. ndibuka

    JamiiForums Tanzania Kauli ya WHO kuhusu taarifa ya Marekani kujitoa katika shirika hilo

    Ndio mkuu na tumesalimiana nae
  15. ndibuka

    JamiiForums Tanzania Kauli ya WHO kuhusu taarifa ya Marekani kujitoa katika shirika hilo

    Mkuu nadhani haupo sawa...... Yaani mkurugenzi wa WHO mie nisimfahamu? Kaingia Jumapili Dodoma then Jumatatu akaja ofisini,kisha akaelekea Chamwino mkuu
Back
Top Bottom