Recent content by ndiabate

  1. ndiabate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kichaa yule ndo mana akitolewa sub anaweweseka
  2. ndiabate

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha ongezeko la wanawake wanaotoboa pua na kuvaa vipini?

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  3. ndiabate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpira ni fedha na mali: Orodha ya clubs zilizoingiza fedha ndefu 2020/21

    Kwani ww inakuhusu nn nyumba usieijua ishia kutazama kwa nje tu inatosha
  4. ndiabate

    JamiiForums Tanzania Fani kimbilio kwa vilaza kwa sasa ni fani ya Utabibu na Udaktari

    Acha wenge ww
  5. ndiabate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Adeyun Saleh na Paul Godfrey wawaachie nafasi Edward Manyama na Shaban Djuma

    Huyu anaota labda hi.juma wa mbagala kwa mbiku ila sio wa AS vita
  6. ndiabate

    JamiiForums Tanzania Mzee wangu yupo hoi, huenda Serikali ingeweka wazi, Mzee wangu asingeshiriki kuzika rafiki yao aliyefariki kwa changamoto

    Kwahyo hata ile combine iliyokuleta duniani nayo ni mapimbi sio? Je wajomba zako walioko kiparanga ambapo hakuna hata network zaid ya kusikiliza Radio watajuje kuwa korona ipo ili wachukue tahadhari? Sawa Rais kasema tuchukue tahadhari vipi kuhusu kusambaza vipeperushi huko vijijin kuhusiana na...
  7. ndiabate

    JamiiForums Tanzania Mzee wangu yupo hoi, huenda Serikali ingeweka wazi, Mzee wangu asingeshiriki kuzika rafiki yao aliyefariki kwa changamoto

    We m. Se... Ngelema... Kweli yani angekuwa baba yako ungeandika utopolo wako guy[emoji40]
  8. ndiabate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Maelezo haya kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Yanga Mwakalebela Kwanini isiangushe tu points sasa?

    [emoji3][emoji3]
  9. ndiabate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dkt. Msola atolewa na uwanjani polisi kumnusuru dhidi ya Yanga

    Banaumizana benyewe kwa benyewe [emoji3][emoji3]
  10. ndiabate

    JamiiForums Tanzania Kama sio tajiri na huna asset, kusomesha watoto shule za gharama ni ujinga unaongeza umaskini kwenye ukoo

    Hahaaaaa umenifurahisha sana chili[emoji3]
  11. ndiabate

    JamiiForums Tanzania Kama sio tajiri na huna asset, kusomesha watoto shule za gharama ni ujinga unaongeza umaskini kwenye ukoo

    Ulikuwa kilaza tu usimuaminishe mwanao yale uloshindwa akija kujua ataja kukuchukia
  12. ndiabate

    JamiiForums Tanzania Kama sio tajiri na huna asset, kusomesha watoto shule za gharama ni ujinga unaongeza umaskini kwenye ukoo

    Kwahyo wanaosoma st kayumba hawawezi kujieleza kwa kiingereza aiseee unashida mahali sio siri
  13. ndiabate

    JamiiForums Tanzania Kama sio tajiri na huna asset, kusomesha watoto shule za gharama ni ujinga unaongeza umaskini kwenye ukoo

    Bosi huyo anakipaji hata angekuwa st kayumba angekuwa juu tu mimi nina mdogo wangu yupo form Three Now Ilboru anawakimbiza mbaya hao wa sijui international school na dogo kasoma st kayumba
  14. ndiabate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Anajua mwanaume simba ameshafungua turbo[emoji38]
Back
Top Bottom