Tatizo sio sua.SUA wanafanya tafit nying na zenye manufaa kwenye but their implementation rests with the govt.SUA haiendesh nch na wala haifany maamuz but n washaur 2 wa serikal na nimaamuz ya serikal kuufanyia kazi.Tz ina wachum weng tu lain bado tuna matatizo ya uchumi.
Muungano uliunganiswa kihuni hun ndio maana unatutesa.watanganyika hatuna serikali .serikal yet aliiua nyerere na kuwaongezea wazanzibar serial ya pili maon yet wanayazika wanataka nin?
Wanapanga mambo yao na kukataa ya kwetu katika nchi yetu.muungano uliungashwa kihun ufutwe kwa sabab...
Sekta ambazo zinaweza kupunguza unemployment nchin kwa kiasi kikubwa ni viwanda na kilimo.sector ya kilimo ina watu 70% ya watu wote na maendeleo ya kilimo yanachochea ukuaji wa sector ya viwanda. Kwa hiyo tunahitaji miundombinu itakayoifungua nchi kurahisisha ufanyikaji wa biashara za kilimo na...
kuingiza dola 2nalazika kuiachia USA nguvu ya kuutawala uchumi wetu kutokana USA ndio inayothibiti mzunguko wa dollar dunian na hakuna nchi inayopenda hiyo ni xawa na kutengeneza uchumi tegemez zaid ya xaxa.sio vizuri ni kuongeza ukolon maomboleo kutokana na biashara na marekan itakuwa raisi...
nimemaanisha rahis ameshindwa kuisimamia sector ya fedha katika kipind chake kutokana na anguko kubwa la thaman ya shiling hali inayopelekea kuchapishwa kwa pesa zisizo na ubora na hatimaye sarafu ya sh 500.kumbuka 2lishakuwa na not ya sh 200 siku za nyuma na ilibadilishwa kuwa coin kutokana na...
kuondoa not ndogo ya sh 500 na kuifanya kuwa sarafu kutasababisha kupanda kwa bei kwa vi2 vilivyo chin ya sh 1000 kutokana na ukwel kwamba watu hawataibeba sarafu hiyo kwa wing kama walivyokuwa wanafanya kwa not iliyobadilishwa watabeba sh 1000.kwa hiyo watakuwa na uwezo wa kuvinunua vitu hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.