Recent content by ndeweleria

  1. N

    JamiiForums Tanzania Lemutuz vs his Diaspora wife

    You know you're humbled
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kutumia pesa zangu/wa kunichuna

    Huko kwenu hakuna wenye shida wakakuchune?nyie ndio wanaume sio ridhiki!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: Ninammiss sana Diamond, sema IQ yake ndogo

    Mtu alie move on anaonekana kwa matendo na sio kila ukirushiwa dongo unaenda kutafuta public sympathy hiii ni blackmail! Angetambua thamani yake na yeye angekuwa ametulizwa na huyo kigogo wanaomficha na sio kujilalamisha mitandaoni kila siku! Diamond na Jokate mbona ni washkaji hadi birthday...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: Ninammiss sana Diamond, sema IQ yake ndogo

    Hizi team hadi huku zimefika kweli huyu dada image inachafuliwa na hawa wanaojifanya team wema, unapokuja mtandaoni bila facts na kuanza kukebehi maoni ya watu unasahau kama yule ni kioo cha jamiii kujadiliwa ni lazima sioni kama kuna sababu ya nyie team fulani kutengeneza uhasama usiokuwa na...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ndani ya vazi la Bikini

    Nimecheka....
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop HP 450 bei sawa na bure

    COREi5 kwa lak8????mchina huyoo
  7. N

    JamiiForums Tanzania Suzuki carry for sale

    Punguza bei boss nikutafute next week
  8. N

    JamiiForums Tanzania Bank ya walimu ni mkombozi wa walimu au ndio kupe?

    Ahsante mkuu, mwisho wa kununua hisa ni lini?na bei ikoje?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Bank ya walimu ni mkombozi wa walimu au ndio kupe?

    Okay kwahiyo bado haijafunguliwa rasmi?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Bank ya walimu ni mkombozi wa walimu au ndio kupe?

    Wahusika kama ni cwt au na yeyote jukwaani anae elewa kuhusu hili suala la bank ya walimu naomba kupewa mwanga kidogo, nini faida yake kwa mwalimu?ununuzi wa hisa pia ukoje?matawi hadi sasa yameshafunguliwa mangapi?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kaanza kuimba Taarabu, ataingia kwenye Vigodoro na Michiriku, anafulia

    Hili jukwaaa burudani ya kutosha!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana, Diamond and Zari

    Weee kweli watu nane hicho kichwa kina akili zaidi ya mtu mmoja!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Diamond amvisha pete Zari, ndoa kufungwa tarehe 1 Mei

    Wanjera yupo kanisani kwa gwajima anapigwa maombi......:thumbup:
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Pia inategemea na misingi mliyojiwekea nyie wawili kama ulianza kwa mbwembwe za misimbazi unategemea asikuombe wakati ulishamuonyeshea zipo!
Back
Top Bottom