Hapo lazima lifanyike jambo kwenye hicho chama chenu,kwani hakuna hata jAmbo moja ambalo linaonesha kuwa kuna uislam na ya Chama,kwakua kila kitu kinachofanyika ni kama maagizo ya maasikofu na mapadrii,utakuta tamko la chama linaungwa mkono na kuandikiwa waraka kabisa,hii ni hatari tuepuka sana...