Recent content by ndeto

  1. ndeto

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

    Huyu shahidi hajui uchunguzi wa maabara lazima matokeo yote uyandike iwe positive au negative
  2. ndeto

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe amuomba Rais Samia amuachie Mbowe

    Zitto ni janjajanja hana lolote
  3. ndeto

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 22, 2021. Mahakama yatupilia mbali hoja tatu za utetezi. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 23, 2021

    Nawapongeza mawakili upande wa utetezi wakiongozwa na Kibatala kwanamna wanavyoibua hoja za kisheria na Mahakama kupwaya katika maamuzi yaliyo wazi
  4. ndeto

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe Novemba 4, 2021: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe atoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Novemba 5, 2021

    Saa tano na robo tayari Mheshimiwa jaji mbona haurudi, tafadhali usijitoe
  5. ndeto

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Kimara vs kibaha kuwekwa matuta kwenye vivuko vya watu karibuni

    Kwa kweli kuweka matuta kwa karne hii haifai kabisa, tatizo lipo kila upande kuna baadhi ya madereva kweli hawasimami kwenye zebra na pia kuna baadhi ya watembea kwa miguu hawatumia vivuko kama daraja pale mbezi mwisho unakuta mtu anavuka chini ya daraja ingawa wamezuia na kamba kwenye yale...
  6. ndeto

    JamiiForums Tanzania Sensa na Katiba Mpya kipi muhimu na kinafaa kupewa kipaumbele?

    Katiba mpya ni muhimu
  7. ndeto

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu wana CHADEMA wote si tu mmemsikia bali mmemuelewa vyema tu Kada wa CCM Pascal Mayalla

    Sawa kabisa katiba ni yetu wananchi na nihitaji letu wananchi, sasa ni wapi tupate majukwaa sahihi ya kudai katiba mpya
  8. ndeto

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu wana CHADEMA wote si tu mmemsikia bali mmemuelewa vyema tu Kada wa CCM Pascal Mayalla

    Kwani hitaji la katiba mpya ni la wananchi au Chadema
  9. ndeto

    JamiiForums Tanzania Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

    Gari zipo nyingi za uchumi wa kati ni wewe unapenda nini
  10. ndeto

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo mfanyabiashara Alhaj Aliko Dangote

    Msigwa naye anatuchanganya ivi Waziri wa viwanda na biashara ni nani au kuna mabadiliko
  11. ndeto

    JamiiForums Tanzania Nissan Dualis inagonga ukikata kona

    Nakubaliana na wewe hata kwenye nissan navara na hardbord hua zinatoa mlio huo ukikata kona kuzidi angle hata hivyo arudi tu kwa fundi amchekia hiyo CV joint maana kwa hizo gari za nissan mara nyingi rubber boot ikipasuka huwa CV joint zake zinaharibika mpaka uweke nyingine mpya hata fundi...
  12. ndeto

    JamiiForums Tanzania Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

    Uzuri Mungu kaamua kuliponya taifa TRA wameshaonywa na Rais waache ubabe huo waliokuwa wanautenda
  13. ndeto

    JamiiForums Tanzania CAG: ATCL imetengeneza hasara ya Tsh. Bilioni 153.542 ndani ya miaka Mitano

    Kazi yao ilikuwa kusifia tu kumbe hasara kwa taifa
Back
Top Bottom