Recent content by Ndetirima

  1. Ndetirima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kanidanganya ananitesa

    Usiweke petrol karibu na moto
  2. Ndetirima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

    Huyo huyo mradi kuwe na upendo wa kweli kwa pande zote na hofu ya Mungu
  3. Ndetirima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

    Ndoa tamu wewe tu usiingie kichwakichwa
  4. Ndetirima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

    Unapoeleza inasaidia kujua kumbe ni mambo ya kawaida na yapo kwa wengi. Unajifunza jinsi ya kuyakabili bila madhara.
  5. Ndetirima

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaotajwa Urais 2025 na 2030. Twende na yupi?

    Dr Mpango kaenda wapi sijamsikia Mwezi huu kabisa
  6. Ndetirima

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaotajwa Urais 2025 na 2030. Twende na yupi?

    Dr. Mpango kwani Yuko wapi jamani?
  7. Ndetirima

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Kaskazini ( KKKT) Dkt. Erasto Kweka afariki Dunia

    Pole kwa wote walioguswa na msiba huu.
  8. Ndetirima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mke wangu alinificha kwamba ameathirika

    Duu pole sana. Huyo ni muuaji. Achana naye kistaarabu na muangalie namna nzuri ya kumlea mtoto na upate uhakika wa afya yake pia.
  9. Ndetirima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

    Pole, piga kazi. Mungu anakupenda sana
  10. Ndetirima

    JamiiForums Tanzania Kuna anayejua hii michoro ina maana gani?

    Ndio ni mninga
  11. Ndetirima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Brother huna shida ya nguvu za kiume. Acha punyeto pamoja na kuanglia Picha na Video za ngono

    Mungu anakuona kwa kusapoti watu kuharibika
  12. Ndetirima

    JamiiForums Tanzania Kuna anayejua hii michoro ina maana gani?

    Kuna anayejua hii michoro ina maana gani?
  13. Ndetirima

    JamiiForums Tanzania Washkaji wamejipata mimi niko vilevile

    Kumbe, fanya kazi yoyote hata kubeba zege na uzitumie hela kwa utaratibu wa kujiandaa na biashara yoyote ya mtaji mdogo inayolipa maeneo uliopo. Usichague kazi.
  14. Ndetirima

    JamiiForums Tanzania Washkaji wamejipata mimi niko vilevile

    Chukua mikopo wenzako wote wamekopa wamejenga, wamenunua magari, na usije ukakopa ukazitumia hela vibaya utaumbuka. Watu wanaendesha magari ya mikopo wanakutisha. Kwa kazi hiyo bila kukopa hutoboi.
Back
Top Bottom