Recent content by NDESARIO THE THIRD

  1. N

    Zanzibar Sio LImbukeni wa Ustahamilivu wa Kidini

    Mkuu acha kupotosha watu, kwanza ukristo wala uislam sio dini za kwanza. Watz tusahau kuwa kana wayaudi( 98% of israel) wanadini yao ya kiyaudi na hawamini katika yesu wala mtume na wao ndiyo wenye vitabu vya mwanzo. Unasemaje kuhusu hawa, na wanadai mtu kama yesu hajawai kutokea israel. Dini...
  2. N

    Proud to be Tanzanian. Shame on you ....!

    Tanzania kuna ubalozi wa Israel vilevile chanzo cha JKT ni msaada kutoka kwa Israel. Kuwapo kwao kwenye madhimisho ya JKT ni sawasawa na kuwepo kwa wachina kwenye reli ya Tazara.
  3. N

    ITV na Taarifa hii Kuhusu Rwanda kuna nini ndani yake?

    Mkuu unayosema ni sahihi kabisa. Lakini ITV kama chombo cha habari kipo kibiashara na katika kipindi kama hiki wanajaribu kuonyesha kwa warwanda kama wapo bila kufungana na upande wowote. Japo baada ya maelezo yote sijaona sababu ya ITV kurudia tarifa ya habari moja kila mda wa habari za...
  4. N

    Uongo wa Pinda unavyoligharimu Taifa

    Kagame ni threat kwa wahutu na sio dunia, vita alivyowai kushinda ni zidi ya wahutu tu na hajawai kupigana na taifa jingine wazi wazi. Kitu anachotuhumiwa DRC cha kuwapa msada M23 nchi nyingi zinafanya hivyo na kila nchi inauwazo wa kufanya hivyo. Wala yeye sio wakwanza kusema alifikiri sana...
  5. N

    Jifunze: Kwa mnaopenda Vita au mashabiki wa Vita na Rwanda

    Swala unalongea ni sasa. lakini kunautofauti mkubwa kati ya uk na tz hali ilivyo. Bunge la uk limekataa tu kupigana vita bila vithibitisho vya kakarudiautosha wasije wakarudia makosa ya Iraq. kwanini wanatumia Iraq na sio Afghanistan, Afghanistan kulikuwa na sababu za wazi na Iraq hawakuwa na...
Back
Top Bottom