Nincompoop !! Tunazungumzia suala la msingi unatoa jibu jepesi km hujaona mlango wa darasa! Uarabu hapa inahusu nini? Anyway, msimamo kama wako ni tatizo pana sana linalogusa sehemu kubwa ya wa TZ hasa watawala (na sio viongozi) wetu. Ndiyo maana ubalozi wetu Algeria uko kwa wakoloni na sio Algeria!
Serikali ikijipanga vizuri hatuhitaji fedha za wafadhili. Tuache kutoa misama ya kodi na kukusansa kodi stahili, tuondoe matumizi ya dola mitaani, tukabiliane na illicitly financial flows, kuondoa safari za JK na misururu ya wafuasi isiyo na tija, kubana milango ya rushwa na kuimarisha...
Pumbavu sana!!! Acha kuropoka km umelogwa na ujinga wa CCM. Angalia kiwango Cha 'remittances' ambazo TZ Diaspora inaleta nyumbani kila mwaka, idadi ya ndugu na jamaa wanaosaidiwa na diaspora, assets zinazowekezwa nyumbani nk...
Tatizo sio nchi yetu ya TZ, tatizo ni Rais wetu na timu ya mambo ya nje ambayo hawajui tulikotoka wala tunapokwenda!!! Wako busy kutafuta kuingia Ikulu lkn hawajui baada ya kuingia watembeeje huko Ikulu!!!
Km washauri wake hawana uwezo kwa nini aliwachagua ? Hiyo inadhihirisha uwezo mdogo aliokuwa nao JK. Kwa mantiki ya Prof Palamagamba, ambayo naikubali 100% JK ni -------- tu na ametuyumbisha sisi wa Tanzania kiasi Cha majority ya circle yake nayo ni wapumbavu tuu, tena sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.