unataka akurambe wewe?anaramba matapishi
Kapanic balaa aisee hadi aibu bunge la katiba lilimlevya.Francis Michael mtumishi wa Ccm kapaniki,analalamika na kuleta ubabe kwa host.Masako mtoe nje huyo
sasa ivi katulia anakariri point aje kivingine,anaweza kutoa vitisho vya LibyaDuu..kazi kwel kweli,eti huyu wa ccm analalamika muda aliopewa ni mdogo anasema mtangazaji uwe fair na mimi nipe dk 15 kma mnyika!!
Nimependa sana ufafanuzi wake.....big up kamanda
we unaangalia tv ya kalio lako?Wote hapa tunaona Joni akieleza vyema mpaka CCM kanunaKusema ukweli ukawa ovyooooo
Hawajuwi hata kuelezea ilani ya chama chao
ndo maana siku ya uzinduzi wa kampaini zao lowassa alishindwa kabsa kuelezea ilani
Kumbe ukawa wote hawajuwi kabisa
Hivi leo hii wakipewa uongozi wataweza?????
Ovyoooooooooo
Wanazidiwa na ACT wazalendo