Recent content by ndembeke

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe, mburuze mahakamani Lowassa kesi ya Richmond

    Tulieni, acheni upuuzi wenu, Tz inahitaji na inao watu makini, waadilifu na wenye machungu na nchi km Dk. Mwakyembe, hvyo ninyi mnaompinga kutokana na kuwalinda mafisadi wenu papa kwa maslahi yenu na kutumia nguvu kubwa kumchafua Dk. mwakyembe kwa sbb ya maslahi ya kuwalinda wahuni wenu mkome na...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na ajira ya Mkurugenzi Mkuu TANESCO

    Waliohusika kuutangazia umma uwongo kwa kutumia media kwa ajili ya kujipendekeza kwa Jpm ili waonekane wanajituma kufanya kazi(TRA)wakamatwe washughulikiwe. Makontena 9 kumbe safii iweje tunachafuana badala ya kulifanyia kazi kwz kisha tuje mbele ya media tukiwa na ushahidi uliokamilika.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tunapocheka Wanapolia, Tusisahau Tutaacha Kucheka na Kuanza Kulia!

    Jitihada ba juhudi hizo kubwa za Jpm ni muhimu kuungwa mkono licha ya baadhi ya watu kulia na wengne kucheka kwani hali ya kiutendaji, ufisadi na rushwa ndani ya Serikali ni mbaya sana hususani vijijini kwa watendaji, kata Wdc, halmashauli za wilaya ni mbaya sana hvyo kila jitihada inapaswa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli aachwe na tumuunge mkono Watanzania

    Hivi karibuni kumeibuka nakundi ya aina tofauti,yenye kumuunga mkono mh. Rais na Serikali yake na yenye kupinga na kupotosha mazuri yake. Watz tuna kila sbb ya kuunga mkono jitihada na harakati zote za mh. Rais zenye kurudisha imani kwa wananchi kwa serikali yake na chama chake Ccm. Huyu ndie...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makontena: Mwigulu, Saada Mkuya, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha wanatakiwa wawe ndani

    Huo ni upuuzi tu. Pumba zinaenezwa hizo@Mwigulu Jembe
  6. N

    JamiiForums Tanzania January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

    Acha magufuri afanye kazi yake
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe, Sitta 'walisafisha' nini Bandarini?

    Huyu Bondeni ni povu tupu kweli ww bondeni kweli kweli, hujui unachoandika zaidi pumba za kuweweseka tu
  8. N

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU na Mwakyembe mnayajua haya kwenye bandari kavu (ICD)?

    Vibaraka wa mafisadi nawaona baada ya kukosa ya kupost mmeanza kutoa post ka kupotosha umma
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe, Sitta 'walisafisha' nini Bandarini?

    Kweli humu ndani kuna watu wanatakiwa kupimwa akili hivi jambo la Tra na Bandari wapi na wapi mpk Ahusishwe Mwakyembe na Sitta? Wakupuuzwa tu hawa
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tunataka CCM ituletee mgombea Urais asie na doa la Ufisadi

    Na kama ni uchafu ni wa mtu mmoja mmoja ambao hata vyama vya upinzani wamo watu wachafu,tuondokane na upuuzi wa kuona wanachama na viongozi wa vyama vya upinzani ndo wasafi la hashaa tutakuwa tunajidanganya
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tunataka CCM ituletee mgombea Urais asie na doa la Ufisadi

    Ccm bado ina mtaji wa wagombea wazuri na wengi kati ya hao watia nia.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tunataka CCM ituletee mgombea Urais asie na doa la Ufisadi

    Wiki hii Vikao vya CCM vya mchujo na mapendekezo na hatimaye kumpata Mgombea Urais kwa kuchaguliwa na mkutano mkuu wa CCM Taifa July 12,Jpili wiki ijayo. Rai yg kwa viongozi na matarajio ya Watanzania wana CCM na wasio wanachama wa CCM ni kuona na kusikia viongozi hao wa chama tawala...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM kukutana Julai 04, 2015 saa nne asubuhi, Dodoma

    Hahahahaha subiri tuone km kwel watz wanatumika kihvyo lkn bado kamati kuu ni watu makini na hawatayumbishwa na mapesa ya watu flan flan
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM kukutana Julai 04, 2015 saa nne asubuhi, Dodoma

    Kamati kuu ccm ni watu makini naamini watafanya kazi nzuri na kutupatia jina la mtu makini na sio huyo aliyetumia mapesa mengi kushawishi na kutuaminisha eti anakubalika kumbe uhuni mtupu
Back
Top Bottom