yaaani mm naielewa clouds pekee kwasabu wana vipindi vipya kilasiku.Ss tbc hotuba za mwalimu zinajirudia miaka na miaka ivyo ivyo tbc tv inatangaza habar za upande mmoja yaani imekuwa kama radio ya chama
Sent using Jamii Forums mobile app
loh mnatudanganya raia lakini huko njee wanajua ukweli et anasifiwa kwa lipi haswa??Ache unafki kutetea matumbo yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
ww fala unajua ikulu imewekwa kwa sababu gani pale si nyunbani kwa rais ni ofisini je unaweza kukaa nje ya ofisi mdamrefu ivyo ??Acha kufikiria karibu kama ikulu ingekuwa haina maana zisingekuepo wangeongoza toka nyumbani kwaanzia nyerere angeongoza akiwa butiama
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.