Recent content by Ndege Mwema

  1. N

    Gazeti: 'CHADEMA yanuka damu'

    Laiti Chadema, CCM ama chama chochote cha siasa na hata serikali ingelazimika kujibu kila linaloandikwa kwenye kila gazeti na hasa magazeti yenyewe yakionyesha wazi mwelekeo wa "kuganga njaa" nadhani hivyo vyama ama serikali basi vitakuwa havina kazi nyingine zaidi ya kujibu tuhuma ambazo...
  2. N

    Malinyi Ulanga: Mauaji katika mapambano ya jeshi la polisi na wakulima

    Kwa wanaofahamu vizuri utendaji kazi wa askari Polisi katika kituo cha Malinyi, hawatashangazwa na taarifa hizi. Askari wamekithiri kwa rushwa, unyanyasaji na kujiona kama miungu watu. Binafsi nasikitika kwamba baada ya kuishiwa risasi wamefanikiwa kukimbia, pengine yangetokea pia maafa kwa...
  3. N

  4. N

    UDSM watoa ufafanuzi Suala la Dr K Mkumbo

    "Dkt. Mkumbo amekanusha kimaandishi tuhuma hizo za kuwa mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, na kusisitiza kuwa yeye alijiuzulu nafasi hiyo ya ujumbe wa kamati kuu tangu Januari 2010, baada ya kutanabaishwa juu ya sheria husika, na kwamba hajawahi kuurejea wadhifa huo". Inaelekea sote tukisoma...
  5. N

    Mbunge wetu kuendesha V8 naweza kuelewa, lakini “mchungaji” wa Kanisa!!

    Pamoja na kuwa “posts” nyingi sasa hivi ni Zitto hivi, Chadema vile nitafurahi kama wanajamvi wenzangu hawatanishangaa ninapoleta post hii ambayo ipo nje kabisa ya “Zittoism” na “Chademaism”. Katika moja ya makala iliyotafitiwa mwaka 2011 na mmoja wa waandishi mahiri wa jarida la Forbes...
  6. N

    UDSM watoa ufafanuzi Suala la Dr K Mkumbo

    Maana ya hapo kwenye red nilivyoielewa mimi: UDSM imemsimamisha kutoka kwenye nafasi ya Uongozi aliyokuwa nayo chuoni ili kupisha uchunguzi wa yeye kuhusika ama kutohusika katika nafasi ya uongozi katika Chadema. Kwa hali ya kawaida endapo itathibitika yeye hakuwa na nafasi yeyote ya uongozi...
  7. N

    Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

    Pamoja na Utanzania wangu na kuipenda sana nchi yangu nakubaliana sana na ile "Coalition of the Willing" (CoW) ya Kenya, Uganda na Rwanda hata kama walikiuka taratibu za EAC lakini wako fast wanapopanga mipango yao. Hivi majuzi tu wameongelea reli ya kisasa itakayounganisha nchi zao, jana...
Back
Top Bottom