Recent content by ndege JOHN

  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mwenza kilaza.

    Kama ni kwenye ishu za leadership au opportunity nyingine watu vilaza bi kundi muhimu sana kwanza community tu kwa ujumla ndo namba moja ya kutobolea hata ukiandika motivation letter kwenda UN AU popote mention your local vilaza community Ila kwenye mapenzi kweli inaboa sana Mimi kuna demu...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Aisee X (twitter) Hapana kwa kweli nimeona video katoto kadogo kanafanywa na kanatoa support kabisa

    nimepigwa na butwaa Nimekutana na video kwenye X inayoonekana kumuonyesha mtoto mdogo sana, labda wa miaka sita, akifanyiwa ukatili wa kingono. Na sio video ya AI ni tukio halisi kabisa. Hivi inawezekanaje mtandao mkubwa kama X ukaruhusu maudhui ya aina hii kusambaa? Wana mifumo gani ya...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwarabu azua shutuma kila kona Japan baada ya kulalamika vyakula vyote vina kitimoto

    Achana na Japani ni blessed country ikifuatiwa na Brazili Kisha Indonesia kisa Tanganyika ila siku wameinajisi
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Connection ya Hermonize imeniharibia Nofap challenge yangu

    Uko serious hujaipata duh hivi kumbe twitter huko wame I ban eeh
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Zamani kutoboa kabla ya 30 ilikuwa hadithi, leo Gen Z wamevunja mwiko, watoto wadogo pesa mlima, hiki ni kizazi kilichojua kutafuta pesa mapema sana

    Hao unaona wametoboa na wana drive ni 1% ya vijana wote sema tu hao wanaonekana aidha maarufu
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania App/tools/software gani unalipia kila mwezi

    Quality ni 4K/HDR
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nimejaribu kufanya YouTube kama Side Hustle nipunguze kulalamika kwenye Uzi wa Mshahara wa January: Sio rahisi aisee!

    Mbona kama tangazo la kijanja acha tuku support mwanetu tuka subscribe
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania App/tools/software gani unalipia kila mwezi

    Kama mnavyojua tena tuko ulimwengu mpya tumepata bahati kuishi nyakati za kidigitali nyakati za data nyakati za AI Siku hizi kila kitu subscription, mwisho wa mwezi ukijumlisha unakuta ni hela ya maana tu Mimi kwa sasa zangu ni Netflix premium 27000 tsh,Meta Verified (blue tick) 25000...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Sasa kama dunia ipo miaka Bil 30 sisi mbona tupo binadamu bil 10 tu kwenye uso wa dunia ?

    Dunia ishakaliwa na watu zaidi ya billion 100
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Sasa kama dunia ipo miaka Bil 30 sisi mbona tupo binadamu bil 10 tu kwenye uso wa dunia ?

    umechanganya vitu vitatu Umri wa Dunia, umri wa binadamu na kalenda ya BC/AD. Mwaka 0 sio siku binadamu walipoanza kuzaliwa. Binadamu walikuwepo maelfu ya miaka kabla ya hiyo kalenda nadhani homosapiens wapo na kama 30000 hivi Halafu hao waliozaliwa miaka 2,000 iliyopita si kwamba bado...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Sasa kama dunia ipo miaka Bil 30 sisi mbona tupo binadamu bil 10 tu kwenye uso wa dunia ?

    Sorry ni Life on Our Planet
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Sasa kama dunia ipo miaka Bil 30 sisi mbona tupo binadamu bil 10 tu kwenye uso wa dunia ?

    Tafuta documentary Inaitwa planet earth
Back
Top Bottom