unajua ukiongea sana busra huonekana ni tusi, mi nadhani kabla ya kutengana ni bora kila mtu arudi kwao yaani wazanzibari waende kwao na watanganyika warudi kwao, halafu ndo zoezi la vitambulisho vya uraia vingetolewa ili wakija bara kununua mahindi waje kwa passport na visa, kifupi hii ndoa...