Recent content by Nde-sanjo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna nyoka wa vichwa saba au zaidi ya kimoja!

    Haaaaaa hahhahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Hiyo ni maneno mbofumbofu ya Mr Ebbo. Wazazi ya samani nachanganya Wasasi ya samani mlitusuga na uzushi ya maneno mbofumbofu.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kama haijakutokea,usije kujaribu...najuta mwenzenu

    Kwani hujui wanasema ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanawake mna shida gani?

    Tema mate tuwachape hao Mademu wamezidi. Na sasa tunasepa nibora tununue tuu.:flypig:
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Oral sex husabisha saratani ya koo kwa kiasi kikubwa?

    Ni kweli Oral sex husabisha saratani ya koo kwa kiasi kikubwa? Na mimi nilishafundishwa kwenye somo la Afya nilivyokuwa sekondari kuwa saratani ya Koo husababishwa na uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe kali, sasa hapa ukweli ni upi? Naombeni msaada.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mchungaji afungwa kwa ubakaji

    Dah amakweli dunia yetu inaelekea ukingoni yaani kiongozi wa dini kawa Shetani namna hiyo? Wala sio eti anashida au amezidiwa lah.. niwazimu tuu,Wake 11 bado unataka tuu alafu eti anataka watoto 100 eti kabla haja hajafa sasa atawapatia huko huko Lupango K****e.
Back
Top Bottom