Recent content by Ndaukanyo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tufanye nini ili tushiriki world cup

    Nashukuru ndetichia kwa kuufungua mjadala huku kujuana na uzandiki kwa viongoz wetu kumekuwa kikwazo kwa maendeleo ya soka letu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tufanye nini ili tushiriki world cup

    Huwa najiuliza nini hatuna ambacho kinatufanya tushindwe kushiriki kombe la dunia?je tatizo ni kukosa vipaj au uwekezaj duni katka soka au tatizo ni uongozi.nini hatuna katika hili?wana jf naomba maoni yenu juu ya hili
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado tutaendelea kuwa na First Lady na si Rais mwanamke

    Leo ni siku ya wanawake duniani mijadala mingi siku ya leo imekuwa ikijadili juu ya namna ya kumkomboa mwanamke ktk nyanja zote. Tumekuwa tukitaman sana kuwa na rais wa kwanza mwanamke lakini hilo haliwezi tokea ktk uchaguzi ujao hii ni kutokana na mazingira ya kisiasa ya sasa. Sioni katika...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Alliances zinavyoua vyama vya siasa kenya

    Hapo umenena kwa muono wa jicho la tatu big up
  5. N

    JamiiForums Tanzania Alliances zinavyoua vyama vya siasa kenya

    Ili tufikie mabadiliko je tunahtaj muungano kama wa jubilii na cod kwa vyama vyetu kama ilivyo kwa kenya?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Alliances zinavyoua vyama vya siasa kenya

    Habari wana jf wenzangu hebu tulitazame hili la alliances nchini kenya ukwel ni kwamba pamoja na faida zake zote ktk siasa na demokrasia hz alliance zinaua vyama vya siasa sasa hatutakuwa tena na odm wala kanu.swali je tanzania tuufuate huu mfumo ukiangalia na mazngira yetu ya kisiasa?naomba...
Back
Top Bottom