Kuelekea Uchaguzi Mkuu, nahisi waigizaji wa filamu za kibongo itabidi wapumzike kwa muda ili tutazame hizi sinema za wanasiasa.
Maigizo ya CHADEMA yanaanza pale walipomuita Lowassa in mwizi, fisadi na ni furaha ya Mungu kumzomea.
Wakaja wakamuhusisha na ACT -Wazalendo, hii ikawa zaidi haswa...