Recent content by ndaosca

  1. ndaosca

    JamiiForums Tanzania Ninayo furaha kujiunga na wana-Afrika Mashariki wenzangu hapa JamiiForums

    Simjui ! Indonesia ni pana, kaka!
  2. ndaosca

    JamiiForums Tanzania The Quiet Revolution: How One Librarian Found True Wealth (and How You Can Too)

    Thank you for sharing! But if the true wealth is not measured in terms of dollars or cents, why most East African countries called "third world countries?" Is ok for someone with the so-called TRUE WEALTH to beg for food or money their daily needs? Why do we have the classification of...
  3. ndaosca

    JamiiForums Tanzania Ninayo furaha kujiunga na wana-Afrika Mashariki wenzangu hapa JamiiForums

    Hodi wanajamii! 👋 Naitwa Oscar Ndayi 🇧🇮, Mrundi kwa asili lakini kwa sasa nipo nchini Indonesia 🇮🇩 kusoma (Doctoral Student) katika Programu ya Tathmini ya Miradi (Program Evaluation), Chuo Kikuu cha Yogyakarta State University. 🎓 Nina furaha isiyo kifani kuona fursa ya kuwa na wa East...
  4. ndaosca

    JamiiForums Tanzania Unaweza kutengeneza pesa mtandaoni kupitia uandishi

    Asante sana kwa maelezo yako! Ukosefu wa kipato cha kutosha ni changamoto kubwa hapa East Africa. Lakini hata watu wenye ujuzi wa kujaribu kupata pesa mtandaoni wanakumbwa na ukosefu wa zana za kupokea pesa kuto nje ya nchi: Zana kama PayPal (unaweza tumia paypal kwa kunua tu, kupata...
  5. ndaosca

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Hii video ina ukweli?

    Video haifunguki! Sijui wengine je...mmeweza kufungua na kuangalia video hii?
Back
Top Bottom