Recent content by ndamally

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Kinyerezi mwisho wa lami

    20x20 ni mita ama futi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo la kukodi nifungue Pub

    Natafuta eneo la kukodi nifungue pub Sifa ya eneo 1. Mvuto kwa mteja 2. Zuri kwa hiyo biashara 3. Unafuu wa kodi 4. Liwepo dar , mwanza , mbeya ,iringa ila napokea ushauri kwa mkoa mwengine wowote
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Subaru Forestar

    Mbona wewe unatumia v8 au inakunywa maji sio mafuta
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Mtzedi hiyo ela ni mgao wa urithi wa marehemu baba yangu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Felix Mimi nipo dar ni mwanaume na naweza Fanya kazi yeyote isyovunja sheria za nchi na za mungu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Na jee hiyo Piki Piki nitapata sh ngapi kwa mwezi
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Duh tutafika hivyo
  8. N

    JamiiForums Tanzania NI Zanzibar au Tanganyika inayoonewa????

    Wewe huna akili hata kidogo ulikuwa uitwe kafirwekwanza sio fiikiri kwanza jua kua hakuna chanzo chochote cha mapato ya Tanganyika kitachopatikana na kutumika Zanzibar ila kuna cha Zanzibar ambacho kinaweza kisitumuke Zanzibar badala yake kikatumika Tanganyika mfano : misaada kutoka nje
  9. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Habari waungwana, Wadau Mimi ni masikini ila kwa kipindi hiki nimebahatika kupata tzs 4,000,000 natamani sana niizalishe sijui niizalisheje naomba ushauri wenu nifanyeje? Natanguliza shukraan
Back
Top Bottom