Recent content by ndalue

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nina Degree ya Uchumi na Diploma ya Ualimu, natafuta kazi

    Asante kwa ushauri mzuri nitafanya hivyo.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nina Degree ya Uchumi na Diploma ya Ualimu, natafuta kazi

    GOOD.your right, thx
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nina Degree ya Uchumi na Diploma ya Ualimu, natafuta kazi

    Wewe hujasoma Mwalimu nyerere hivyo usiongeeongee tu ilimradi unataka kufurahisha watu. Kama ungekuwa umesoma pale ungekuwa unajua degree wameanza kutoa lini Hivihivi utabisha mpaka uingie kaburini.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nina Degree ya Uchumi na Diploma ya Ualimu, natafuta kazi

    Hivi kwani lila posti lazima uijibie kama hujui kitu si ukae kimya. Mbona wengine wamechuna tu si wameona mada hawaiwezi. Kwanza unaongea vitu vya uongo hivi Mtu kama wewe unaweza kunisaidia kupata nazi? Shuttup your mouth
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nina Degree ya Uchumi na Diploma ya Ualimu, natafuta kazi

    Unauhakika na unacho kiongea?, umesoma Mwalimu nyerere?, kwanza Mwalimu nyerere unayoiongelea wewe ni ipi usiwe unalopokalopoka tu vu tu usivyo vijua mimi ndo natakiwa nikwambie wewe No research No right to speak.watu mnapenda kubishabisha tu bila kuwa na uhakika na mambo yenyewe. Chuo hicho...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kujua nichague yupi

    Mpaka hapo tayari ushawapotezea muda.kama dini inaruhusu oa wote
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nina Degree ya Uchumi na Diploma ya Ualimu, natafuta kazi

    Asanteeeeeee saaaaana.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nina Degree ya Uchumi na Diploma ya Ualimu, natafuta kazi

    asanteeeee naona wewe ndio tunaelewana hao wengine kazi yao kuongea tu.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nina Degree ya Uchumi na Diploma ya Ualimu, natafuta kazi

    Haya asanteni kwa ushauri
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nina Degree ya Uchumi na Diploma ya Ualimu, natafuta kazi

    Mmmmmm mmeongea sana tena sana il a kwa kifupi nimesoma hkl nimemaliza mwaka 2006 nikajiunga na chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu nyerere mwaka huohuo kwa kozi ya Bachelor degree in economics of development na kumaliza mwaka 2009. Kwa anaesema 2009 hawakuanza kutoa degree Huyo ni muongo na hakijui...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nina Degree ya Uchumi na Diploma ya Ualimu, natafuta kazi

    Degree nimemaliza mwaka 2009 chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu nnyerere.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nina Degree ya Uchumi na Diploma ya Ualimu, natafuta kazi

    Mimi ni Mwalimu Wa sekondari nafundisha masomo ya historia na kiswahili
  13. N

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ataniua jamani

    Haumfikishi kileleni huyo. Akikojoa hawezi kukusumbua kila mara. Anakuwa na nyege hazijamuisha.we mkojoleshe uone kama atakusumbuasumbua.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nina Degree ya Uchumi na Diploma ya Ualimu, natafuta kazi

    Mimi ni mwanamke, Nina miaka 30. Natafuta kazi yoyote. Nina degree ya uchumi na pia Nina diploma ya ualimu. Ninauzoefu Wa kazi kwa miaka miwili.kwa mawasiliano zaidi nipm
  15. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni Mwalimu Wa sekondari natafuta Mtu Wa kubadilishana naye. Yeye a je wilaya ya busega mkoa Wa simiyu( karibu na mwanza) mimi niende moja kati ya wilaya zifuatazo Mkuranga, kibaha, morogoro, daresalaam wilaya yotote ile.kwa yeyote aliye tayari anipm.
Back
Top Bottom