Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijajulikana umeripotiwa kuzuka tena kwa mara ya pili ndani ya mwezi huu wa septemba.
Moto wa kwanza uliripotiwa kuzuka September 3 katika eneo la Kikererwa wilayani Rombo lakini ulidhibitiwa ndani ya siku chache na vikosi vya uzimaji moto kutoka jeshi la...
Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro,Hassan Bomboka ameripotiwa kuagiza kukamatwa na kuwekwa ndani kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM),Tawi la Bomang'ombe Bi,Agnes Kimaro huku kukiwa na wingu zito kuhusu sababu hasa za kiongozi huyo kutoa amri hiyo .
Mwenyekiti huyo alikamatwa na kuswekwa...
Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi Mheshimiwa Haji Fundi Haji ametoa rai kwa wafanyabiashara na wawekezaji kuwekeza kwenye Kata ya Bondeni na kwamba Kata hiyo ni salama .
Ametoa rai hiyo hivi karibuni kwenye kilele cha siku ya usafi wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Bondeni ...
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini kwa tiketi ya chama Cha Mapinduzi (CCM),Ibrahim Mohamed Shayo amemuomba Naibu Katibu mkuu ccm Taifa Agrrey Mwanri kuingilia kati ujenzi wa mradi mkubwa wa uboreshaji wa miundpmbinu ya Barbara na miferji ya maji ya mvua kwenye kata nane kati ya 21 za Manispaa ya...
Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB), kwa kushirikiana na Taasisi ya Misitu ya Ulaya (EFI) na kampuni ya sheria ya NexLaw Advocates mapema aeptemba 15 mwaka huu iliandaa warsha ya pili ya wadau.
Warsha hiyo ilikuwa sehemu ya jitihada zinazoendelea za kuimarisha utayari wa sekta ya kahawa nchini...
Msikilize Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi ,Haji Fundi Haji akiwasihi wananchi na wafanyabiashara Kata ya Bondeni kuimarisha suala la usafi wa mazingira huku akiweka mikakati ya kuifanya kata hiyo kuwa kariakoo ya baadae
Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi ,Haji Fundi Haji amewataka wananchi na wafanyabiashara wa Kata hiyo kuhamasishana na kushiriki kikamilifu katika suala zima la usafi wa mazingira na kuifanya kata hiyo kuwa moja ya Kata zinazoongoza kwa usafi.
Wito huo ameutoa wakati akizungumza na...
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh
ALHAMDULILLAH A'LAA KUL-HALI
Siku ya tarehe 20 Septemba, mwaka 2024, ilibadilika kuwa moja ya siku zenye changamoto kubwa sana katika maisha yangu.. Ilikuwa siku ambayo hatari ilinigusa moja kwa moja, pale nilipopatwa na tukio la kutisha la kumwagiwa...
Asanteni jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro kwa kazi nzuri iliyotukuka kwa kufanikiwa kumtia mbaroni Emmanuel Elisante Mariki kijana aliyefanya ukatiri dhidi ya ubinadamu kwa kufyeka viganja vya mikono yote miwili ya Scola Bernad binti wa miaka 23 mfanyakazi wa kazi za ndani house girl .
Tukio...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeendesha oparesheni kubwa katika maeneo mbali mbali ya mkoa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake ya kikatiba ya kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi pamoja na mali zao, huku likiendelea kuchukua hatua dhidi ya watu wanaojihusisha na vitendo...
Watuhumiwa 37 wa makosa mbali mbali wamehukumiwa kwenda jela baada ya kupatikana na hatia mkoani Kilimanjaro .
Katika Mashauri hayo limo la mtuhumiwa kuhukumiwa adhabu ya kifungo cha maisha jela kutokana na makosa dhidi ya binadamu.
Taarfa iliyotolewa na jeshi la polisi mkoani kilimanjaro...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linachunguza tukio la mauaji ya kijana Steven Karakira Kaaya, (24), Mkazi wa Mtaa wa Boma Mbuzi, Wilaya ya Moshi,
Steven alifariki Dunia kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kushambuliwa na watu mbalimbali kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa kiti cha...
Benki ya Azania tawi la Moshi mkoani Kilimanjaro imeanzisha program ya kutoa elimu ya fedha kwa makundi mbali mbali ikiwamo vijana lengo ni kuwawezesha kuwa na uelewa mpana wa namna ya kutunza fedha
Mkakati huo utayasaidia makundi hayo kugeuza elimu hiyo kuwa fursa za kibiashara zinazotolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.