Recent content by Ndafwanya

  1. N

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Asante mkuu kwama ishushwe gia boksi au kuna sehemu ya kufungua na kusafisha
  2. N

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Gia boksi itakuwa ni shida gani sasa
  3. N

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hapana haitoi moshi kabisa ila asubuh ndo inatoa moshi wa kijivu na maji kwa injini ila ikiwa tambalale haisumbui inaenda tu vizur tatizo kwenye mlima inachelewa kweli kuchanganya na inataka tu gia kubwa.
  4. N

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habar wanajamvi gari yangu ni toyota avensis ina engine ya 7A ni manual ila haichanganyi na inakuwa kama ina miss na inakula sana mafuta
  5. N

    JamiiForums Usiku wa manane

    Nko mbeya
  6. N

    JamiiForums Usiku wa manane

    Jamani usiku unasindikizwa na maradi balaa
Back
Top Bottom