Hahahahha hao wa Manzese sio mwanangu, karibia wote kule wanakula fegi tena zile nyota kama unazijua... afu wahuni wahuni sana malaya wa manzese pale... Malaya wazuri Sinza Meeda pale au sana wapo kangaroo pale...
Hapo kweli... nina demu ninamtongoza nampenda ila akaniambia anajamaa wake, nikajidai sielewi somo nikamkazia sana akaanza kuniita my, mara luv.. lakini kumuacha jamaa ake hataki na mimi akiona ninataka ku give up niwaache na jamaa yake anakua mnyonge kuonesha hajakubaliana na uamuzi wangu huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.