Recent content by Ndabashinze

  1. N

    Ripoti ya Jopo la Wataalam wa UN juu silaha Haramu DRC

    Now understand, nilisikia bwana Membe akilalama kuhusu hili jambo nikawa sielewi chanzo chake. Thanks for sharing, keep it up. Ngoja niisome tratibu!
  2. N

    Radio za gari

    Toa specs kamili, kama vile watts ngapi, ohms, number of channels, nk
  3. N

    Jerry Muro: From ITV to TBC1

    Jeryy yuko mjini nasikia anahamia TBC baada ya kutoelewa na ITV maswala furani!!.
  4. N

    Online Services kwa Wantanzania Waliopo Nje ya Nchi

    Tatizo, kwa hapa bongo siyo tu kwa watu mlio nje hata hapa ndani bado ni isssue. Ili hizi idea zako zifanikiwe lazima kwanza Payment Cards ziwe accepted. Card hapa bongo nikwa ATM tu. Jana nilpata dharura nikata kuondoka na ndege ya kwanza kwenda Mwanza saa 12 asubuhi, I had to drive to town get...
Back
Top Bottom