Online Services kwa Wantanzania Waliopo Nje ya Nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Online Services kwa Wantanzania Waliopo Nje ya Nchi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ramthods, Aug 10, 2009.

 1. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2009
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana JF,

  Kwanza nianze kwa kukushukuru kusoma posti hii.

  Pili, ningependa kupata ushauri wako juu ya Huduma za kupitia internet ambazo zingewafaa wenzetu walioko nje ya nchi.

  Binafsi, nilikua na mawazo machache, mfano online music store.

  Najua it's hard kupata nyimbo latest za bongo ukiwa nchi kama US, UK na kadhalika, lakini najua mpo ambao mngependa kudownload nyimbo mzipendazo through internet kwa fee ndogo mfano $0.6 per song.

  Hii itaongeza pato pia kwa wanamuziki wa kibongo ambao wanazulimiwa na wahindi kila kukicha.

  Idea nyingine ni ku offer live news feeds ya magazeti yote ya kibongo. Pia hii itafungua market ya magazeti nje ya nchi na kuwasaidia wabongo wenzetu walio nje ya nchi.

  Naomba wana JF mniongezee hii listi yangu. Mimi ni software developer, na ningependa sana ku offer moja ya service ambazo wenzangu mtapendekeza.

  Asante sana
   
 2. N

  Ndabashinze New Member

  #2
  Aug 11, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo, kwa hapa bongo siyo tu kwa watu mlio nje hata hapa ndani bado ni isssue. Ili hizi idea zako zifanikiwe lazima kwanza Payment Cards ziwe accepted. Card hapa bongo nikwa ATM tu. Jana nilpata dharura nikata kuondoka na ndege ya kwanza kwenda Mwanza saa 12 asubuhi, I had to drive to town get the monies out of ATM ndiyo nirudi Airport kuchukua ticket.

  Nikamwuliza mtu wa Precesion why arent they accepting cr cards au debit cards. The answer was: TUNALISHUGHULIKIA.

  Precesion: ubora siyo kuongeza ndege tu hata other services!!!
   
 3. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2009
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Hili linawezekana kwa matumizi ya credit card tu ndiyo utakuwa umenena.Naamini kwa wengi wa wa-Tz walioko nje hii huduma wataimudu;ila kwa hapa nchini hiyo idea haitafanikiwa mpaka pale tutakapoanza kumiliki credit card badala ya debit card au zote mbili.Au kama unaweza kuweka alternative nyingine ya malipo ambayo itawekutumika kwa mazingira ya hapa Tanzania.

  Kwasababu umelenga kuanza na hao walioko off country endelea tu kuhakikisha hiyo huduma inaanza kupatikana;na kama vipi unaweza nipatia nafasi once project itapoanza.
   
 4. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2009
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Unajua ndabashinze, tusiwalaumu sana PresicionAir au makampuni yoyote ambayo hayatoi huduma kwenye internet. Ukweli ni kwamba kama soko lako ni tanzania huta pata wateja wengi, na investment yako haitakulipa.

  Mimi nilikua na run website moja (jina naliweka kapuni) ambayo tulikua tunatangaza kila siku TBC1. Lakini visitors walikua ni kama 290 - 320 kwa siku toka TZ, 60% of the traffic was coming from mobile phones!

  Hii inaonyesha watanzania wengi hawana access ya computer za internet na it's very expensive kwa wale wenye computer, hivyo your potential customers are very limited.
   
 5. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2009
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Unajua ndabashinze, tusiwalaumu sana PresicionAir au makampuni yoyote ambayo hayatoi huduma kwenye internet. Ukweli ni kwamba kama soko lako ni tanzania huta pata wateja wengi, na investment yako haitakulipa.

  Mimi nilikua na run website moja (jina naliweka kapuni) ambayo tulikua tunatangaza kila siku TBC1. Lakini visitors walikua ni kama 290 - 320 kwa siku toka TZ, 60% of the traffic was coming from mobile phones!

  Hii inaonyesha watanzania wengi hawana access ya computer za internet na it's very expensive kwa wale wenye computer, hivyo your potential customers are very limited.

  Hata leo kata tutaomba tupate statistics toka JF, I'll bet the report would show most visitors coming outside Tanzania.
   
 6. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2009
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Yah, you are right. Payment method itakuwa ni PayPal kwa kuanzania. Very few Tanzanians have PayPal accounts, but I hope this number will increase overtime.

  Kwa visitors wa Tanzania, payment method itakuwa ni bank deposit, ingawa naona ina usumbufu sana na inaondoa ile maana ya online service kwa kiasi fulani. Maana ya online service inamaanisha everything should be online, sio ufunge safari kwenda bank kulipa.

  But CRDB have come up with Mobile Banking ambayo nadhani wana launch officially mwezi huu au ujao, ila inafanya kazi isipokuwa inatumika kwa wafanyakazi tu kwa majaribio.

  NMB tayari wamesha-launch ya kwao. Ingawa sina uhakika sana lakini inawezekana ndo ukawa mwanzo wa electronic payment system ambayo ita-dominate bongo - time will tell.

  Uliposema project ikianza nikupatie nafasi ulikua unamaanisha nini, sijakupata hapo mkuu!
   
 7. C

  Chief JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2009
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Pamoja na kuwa sijabobea sana katika masuala haya, sioni tofauti ya functionality kati ya debit vs credit card, ukiondoa kuwa debit card inachukua toka pesa ulizoweka benki na credit card ni card ya mkopo wenye riba. Hapa nchini tumeshaanza kitambo kumiliki kadi hizi na unaweza kutumia online.
   
 8. Kivuko

  Kivuko Member

  #8
  Aug 13, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Online business is at it's infancy in Tanzania,we have to accept that and adopt to it.
  Improvements are welcomed of course,the reason we introduced Tanzania Online Shopping Gateway, to give Tanzanians the power of choice.
  most Tanzanians are good browsers of latest and good products from western websites only to find the expensive versions in their local shops.

  To solve the payment gateways issues you have to be flexible,introduce multiple payment methods,like Paypal,M-Pesa,Z-pesa,bank deposit,Credit cards,debit cards,and even Cash On Delivery.

  Our experience shows that people are more willing to adopt when they have more choices.

  Customer support is also very important in this almost new and very uncertain industry to most Tanzanians.

  users needs to feel the Realness when they are about to use their credit cards.

  Live Customer Service either by phone or by chat is important.since most customers would have many unanswerable questions or glitches.

  all these require abundant resources but they are worthwhile

  we can do it,all we need is a little more creativity at the end.
   
  Last edited: Aug 13, 2009
 9. BrainPower

  BrainPower Senior Member

  #9
  Aug 13, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi ninaweza kukusaidia na wazo,

  Unaweza kuanzisha "online job portal" ... Yani tovuti ambayo itaruhusu waajiri kubandika nafasi za kazi mbali mbali. Itasaidia walio majuu.

  Kuna watu wanaishi nje lakini hawajui kama watapata kazi katika fani zao wakirudi Nyumbani. Mimi nilipata tatizo hilo pia nikiwa ninasoma.

  Huwezi jua soko la ajira likoje. Kama una mpango wa kuliendeleza hili wazo nami niko tayari hata kukusaidia.

  B.P
   
  Last edited: Aug 13, 2009
Loading...