Recent content by NDABANINGI SITHOLE

  1. N

    JamiiForums Tanzania NUCLEAR WEAPONS

    Kama wewe hujiamini endelea kutokujiamini wewe mwenyewe tu,tunao wasomi wengi kwenye hiyo kada,mmoja wapo ambae hata wewe unamfahamu,ni prof, mohamed gharib bilali,
  2. N

    JamiiForums Tanzania Sababu ya jeshi la Marekani bendera na nembo zao kuwa na picha ya ndege mbabe Tai

    Lkn pia kisa cha USA kupiga atomiki Japan,jeshi lake liliangamizwa na majeshi ya Japan,hivyo mtu anapokuja na suala la propoganda za kipuuzi,unashangaa sana,
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wapigaji na wezi wa mashirika ya Umma wanaposubiri kupandishiwa mishahara yao Mei Mosi

    UNASHANGILIA KWA KUINGEZEWA TSH 12700?,HUO SINIUPUMBAVU!!!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anakubali kuwa Rais Magufuli aliambukizwa UVIKO-19?

    UTAKUWA NBIRIKIMO WA FIKRA,WAKATI ANAHOJIWA,HAKUJIBU KAMA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,ALIJIBU KAMA SAMIA,LKN SIKU ANATANGAZA KIFO CHA MAGUFULI,ALIKUWA KAMA MKUU WA NCHI AKIITANGAZIA DUNIA, SASA NYIE WENYE AKILI MBIRIKIMO NA FIKRA ZENYE MATEGE,MNA AJENDA ZENU BINAFSI,
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mchango wa mbunge mpina bungeni, ahoji usiri mkubwa katika mikataba ambayo serikali inaingia kwa niaba ya wananchi

    Wewe ni juha na mjinga mkubwa kbs,hoja iliyopo mezani ni hiyo?,lete hoja ya kwako na wewe,
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ni katiba mpya pekee itayoweza kuzuia ufisadi huu unaoenda kufanyika vinginevyo ni ni maumivu kwa taifa letu

    Wewe nawe unatosha,unajaribu kuhangaika na chuki zisizo kuwa na maana,kwenye itawala wa jiwe nani alikuwa anaiba?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ni katiba mpya pekee itayoweza kuzuia ufisadi huu unaoenda kufanyika vinginevyo ni ni maumivu kwa taifa letu

    Nakuunga mkono,huu upuuzi unaofanyika leo mchana kweupe,watu wanashindana kuiba,Rais yupo kimya,au na yeye anapiga kivyake,Hapana,
  8. N

    JamiiForums Tanzania BERLIN: Bunge la Ujerumani laidhinisha mpango wa kuipatia Ukraine silaha nzito

    Bhangi ya wapi hiyo mkuu?,
  9. N

    JamiiForums Tanzania BERLIN: Bunge la Ujerumani laidhinisha mpango wa kuipatia Ukraine silaha nzito

    Jamani,woote hao wanapambana na mtu mmoja tu? Uingereza kapeleka siraha nzito,Marekani kapereka siraha nzito,,ujetumani nae kapeleka siraha nzito,jamhuri ya chek naye kapeleka,canada naye kapeleka,lkn cha kushangaza Ukraine bado inachezea kichapo kwa mrussi,
  10. N

    JamiiForums Tanzania Royal Tour! kulikoni wagharimiaji hawatajwi hadharani? Tunaishia kuambiwa ni Watu Binafsi

    Kwa nini wewe kila likija swala mhimu na lenye tija kwa nchi,kazi yako ni kupinga tu? Kila michango yako wewe ni kutetea ufisadi na uharifu? Au wewe hiyo ndio kazi yako?, unalipwa kwa kazi hii?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

    ZITTO ALETE USHAHIDI,HIZO POROJO NI HASIRA ZA KUKOSA UBUNGE,
  12. N

    JamiiForums Tanzania Uongozi mpya CCM waanza rasmi kufanya kazi na wakina Makonda; wadai kundi lake litawasaidia kampeni 2025

    Mama kaingia MADARAKANI kwa mapinduzi baridi,mikono yake imetapakaa damu ya jpm,kwa hiyo shetani atakuwa mahari pa juu ikulu,
  13. N

    JamiiForums Tanzania Jamii imegoma kabisa kuhusu Magufuli? Nini kifanyike?

    Nyumbu ktk ubora wako,ndio maana mleta maada kasena,mnapambana na hayati jpm,huku akiwa kalala kimya kaburini,lkn amewashinda,,
Back
Top Bottom