Recent content by nchonga aliyebaki

  1. nchonga aliyebaki

    JamiiForums Tanzania Kule Vietnam sasa nikakutana na wadada wawili ma nes kutoka Marekani, club inaitwa Blue bar

    Taratibu utatuua! Huko Vietnam si ndo walinyonga Yule mkenya kisa madawa ya kulevya? Unapata wapi courage ya Kwenda huko
  2. nchonga aliyebaki

    JamiiForums Tanzania Wananyukana sana

    Hapo ndani yetu macho,mmoja asipouwawa basi Hata viti wamebadilisha kuogopa kuwekeana sumu kwenye mkutano
  3. nchonga aliyebaki

    JamiiForums Tanzania Apewe maua yake kama ni zawadi Tanzania tumepewa Maxence Melo, kwa upande wa platform ya Habari mtandao

    Hii haizuii kumpa maua yake kuna mwana alikuwa anaumwa cancer hapa namjua akamwendea melo Japo hakusema Tatizo ni nini, Melo alimpa msaada wa kukutana na mtu hapo dar na akampa sh 600,000 cash. Huyu mtu muacheni aiseeee
  4. nchonga aliyebaki

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taasisi huwa hazisomi emails za wateja ? Tatizo la Benk za Tanzania na mitandao ya simu

    Waajiriwa wengi hawana weledi wa kujibu kwa haraka, sisi tunapiga moja kwa moja hawapokei Itakuwa emails? You are not serious man
  5. nchonga aliyebaki

    JamiiForums Tanzania Melo ataja sababu za JamiiForums kufungiwa

    Nami pia
  6. nchonga aliyebaki

    JamiiForums Tanzania Melo ataja sababu za JamiiForums kufungiwa

    Jamaa Ana akili sana Ukimsikiliza kwa makini na kwa kina is the one of the greatest people we have in Tanzania
  7. nchonga aliyebaki

    JamiiForums Tanzania Mkubwa kashtukia mchezo wa July - Sept, anawapukutisha Kama majani ya Kiangazi, bundi katua kwa taita

    SIGARA BRAND (EMBASSY) Naona alimaanisha Katibu mkuu aliwaonya embassy wasiingilie mambo ya ndani ya Tanzania ni mawazo yangu Lakin yaan hapa kasemwa
  8. nchonga aliyebaki

    JamiiForums Tanzania Mkubwa kashtukia mchezo wa July - Sept, anawapukutisha Kama majani ya Kiangazi, bundi katua kwa taita

    Hapo nimeelewa Katajwa Philipo mpango Katajwa kasimu majaliwa Kisamayu ni Kinana Kummangula ni kumpa mtu sumu Kibiongo kwenye ushoroba ni kale ka jamaa kafupi ambako ni mkuu wa wilaya kisarawe kwenye Ushoroba ndo Walisema kame mpa mangula sumu Huyo alotajwa kuvujisha Siri ni Method Kumdyako...
  9. nchonga aliyebaki

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Majaliwa anapigwa chini kiujanja

    Jamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu. Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI. Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie...
  10. nchonga aliyebaki

    JamiiForums Tanzania Bisho Ntongo namuona kwenye kona, inasikitisha sana, wametoboa mtumbwi sasa

    Hapa pagumu Lakin naweza jua Bisho ntongo ni mtu mwenye macho makubwa Kama nyanya mshumaa, Mtoni nadhani ni uongozi na bundi ni mfumo Tatu sauti ya mahaba ya faragha nadhani hapa unasema mchengerwa kupitia wanu wanaongoza nchi
  11. nchonga aliyebaki

    JamiiForums Tanzania Siri wa kokwa la embe hajapaisha penati kafungia alikoishia mtunzi wa gheto langu

    Umeeleweka Siri wa Kokwa Ni Silverta Koka mbunge Punda ni gari Mchuzi wa mfalme ni CCM Gheto langu ni mashairi ndani ya Wimbo wa Ngwaur alifia Afrika kusini, Hivi leo kumetoka taarifa kwamba mtu wa Afrika kusini amesema gari walilokamata na wahamiaji haramu ni lake, ili kumsafisha Koka...
  12. nchonga aliyebaki

    JamiiForums Tanzania Ya Kabendera Aman upendo tukielekea mwaka Mpya, tusihukumu

    Jafeeee umetisha
Back
Top Bottom