Haya ni mawazo mufilisi na ni hatari kwa mustakbali taifa. Sina hakika na umri wako lakini kama we ni kijana ni hasara zaidi. Mnajitahidi kumtafutia EL umaarufu kwa njia za giza lakini hamtaweza. Amezama kwenye tope na hasafishiki. Ni aibu kujadili mtu ambaye amethibitika kutumia pesa...
Katika awamu ya nne nchi inaendeshwa kwa Kihiyo-style ndo maana huoni serikali ikishtuka. Mulugo mwenyewe anajitetea kwa kujiamini kama 'shujaa'. Na aibu ya Mulugo ni cha-mtoto maana mteuzi wake alipohojiwa kuhusu elimu ya TZ katika round-table akasema nitaeleza kuhusu Infrastrustructure...
Katika awamu ya nne nchi inaendeshwa kwa Kihiyo-style ndo maana huoni serikali ikishtuka. Mulugo mwenyewe anajitetea kwa kujiamini kama 'shujaa'. Na aibu ya Mulugo ni cha-mtoto maana mteuzi wake alipohojiwa kuhusu elimu ya TZ katika round-table akasema nitaeleza kuhusu Infrastrustructure.
Oh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.