Maduka yako mengi sana kwenye karibia miko yote na takribani wilaya zote itategemea wewe uko wapi cha msingi hawa jamaa wana ofisi kila mkoa unaweza ukaenda ofisini kwao wakakupa list of acceredited facilities kwa eneo unaloishi au hata ukiwatumia email watakutumia tu
Tujifunze kuishirikisha akiri yetu kufikiri kwani nyumba ya B1 kwa mtu kama lukuvi jamani inawezekana kwani hivi ameana kuwa kiongozi mwandamizi tangu lini na kama tangu kipindi hicho alikuwa akiwekeza inawezekana kakisa kuwa na nyumba kama hiyo.Kwani mimi nimeona kwa rafiki yangu yeye kwa miaka...
Mwanzo hata mimi nilitaka kuamini kuwa may be Lowassa ni mwizi lakini nikatulia kuchuja facts na kugundua ule ulikuwa mchezo wa kisiasa tu kuvizia nafasi ya uwaziri mkuu. Katika uwezo wa kubuni,kusimamia na kufuatilia jamaa huyu pia anao uwezo mkubwa sana pia siyo mtu wa kunyenyekea mataifa ya...
Mimi ni mwanachama na nimekuwa nikifaidika na Bima ya Afya Tangu mwaka 2002 na nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mafao ya hawa jamaa. Kitaalamu NHIF au Bima ya afya wanatumia system inayoitwa FEE FOR SERVICE ambayo hakuna kikomo cha gharama kwenye matibabu na unaweza kupata huduma wewe na...
wadau hoja hii ni ya kweli nimeongea na mtu wa hapo amenithibitishia na kusema waliosimamishwa kazi ni wakurugenzi watatu akiwemo na Dr.Lekey ingawa mtoa taarifa ameniambia kuwa jitihada za kuwafikisha watuhumiwa hao kwenye mikono ya vyombo vya dora alizianzisha mkurugenzi aliyestaafu na ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.